Usafiri Wa Treni Waanza Kwa Majaribio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usafiri Wa Treni Waanza Kwa Majaribio

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sir.JAPHET, Sep 12, 2012.

 1. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Usafiri wa treni jijini Dar es saklaam utaanza mwezi Oktoba baada ya kukamilika kwa maboresho ya reli kutoka Ubungo hadi stesheni. Akizungumza jana baada ya kufanya safari ya majaribio Naibu waziri wa Dk Charles Tizeba alisema kufikia mwezi ujao treni hyo ityaanza kubeba abiria ili kupunguza matatizo ya usafiri kwa wakazi waishio maeneo inapopita treni hiyo. “Kufika Oktoba tutakuwa tumeanza kutoa huduma maana leo tumeanagalia uwezekano na tumeona tunaweza ufanya huduma na kurekebisha kasoro zilizobaki” alisema Dk Tizeba . Dk Tizeba alisema kuwa reli hiyo kwa sasa bado haijakaa vizuri hivyo inahitaji kurekebishw aili trenio hiyo iwee kwenda kasi zaidi na kubomolewa kw anyumba zilizojengwa jirani na reli hiyo. “Inashangaza sana kwani kuna watu wamejenga nyumba zao jirani kabisa na reli na wengine wamediliki kujenga mita moja kutoka relini, hii inahatarisha maisha yao wengyewe na hata wasafiri watakaotumia ttreni” Hivyo alisema kuwa tayari watu hao wametaarifiwa juu ya kuondoka katika maeneo hayo na kwamba watatakiwa kuvunja wenyewe na wakikaidi basi watavunjiwa ili huduma hiyo ianze kutolewa. Chanzo: www.mwananchi.co.tz
   
 2. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  let see usishangae kusikia pesa ililiwa pale tena
   
 3. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Tuwapongeze wale wote ambao akili zao zilikataa kubomoa reli hiyo kama wenye akili zilizoliwa na dumuzi waliobomoa reli ya kwenda Ntwara kwa baba na mama. Sasa kizazi kipya kianze kufikiria kuifufua reli ya kwenda Lindi na Ntwara, kila munu abena kwao!
   
Loading...