Mbunge wa Iringa mjini yupo Berlin ujerumani

kamandamakini

Senior Member
Feb 17, 2012
165
137
Mh. Msigwa yupo ujerumani jijin Berlin amekuwa kwenye semina ya mafunzo ya mabadiliko ya tabia ya nchi, climate change ,anawataka watanzania wanaoishi hapo Berlin wanotaka kujua M4C na vuguvugu la mabadiliko Tanzania ,atakuwepo hapo mpaka jumnne ijayo tarehe 12 jioni ataondoka kwenda nyumbani, yupo katika hoteli inayoitwa steigenberger email aabctz@yahoo.com pia unaweza tuma SMS kwa simu hii +255754360996, pia kwa njia ya face book. Tanzania ni yetu sote tunahitajiana ,
 
Msalimie,mwambie home ni hofu tu imetanda juu ya utawala dhalim
 
Back
Top Bottom