Abiria 15 wafariki ajalini musomal..saa 12:45 jioni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abiria 15 wafariki ajalini musomal..saa 12:45 jioni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TATOO, Sep 12, 2012.

 1. T

  TATOO Senior Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Abiria zaidi ya 15 wamefariki papohapo baada hiece waliokuwa wanasfiria toka musoma mjini kwenda nyamswa,bunda na butiama kupasuka tairi mbili za nyuma na kupinduka vibaya sana nje kidogo ya mji wa musoma,,kati ya waliokufa ni pamoja na dereva na askari jeshi mmoja na mwenzake kuvunjika vibaya,,ikumbukwe kwamba barabara ya musoma mwanza inafanyiwa matengenezo makubwa na sehemu ilipoangukia gari hiyo ni sehem amabayo tayali ilishakamilika kwa kuwekewa lami safi sana,,na hivyo kama watumiaji hawatachukuwa tahadhali basi mwendelezo wa ajali kama hii huwenda zikaongezeka,,

  Picha nawaletea baada ya mda mfupi japo zinatisha sana..!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 2. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,565
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Poleni majeruhi na RIP marehemu
   
 3. u

  ukweli2 Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  poleni sana wafiwa!!!!
  Mungu awaponye waliojeruhiwa!!!!!
   
 4. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,898
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Mungu wangu,hizi ajali zitatumaliza.Poleni sana majeruhi na marehemu wapumzike kwa amani
   
 5. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu wa musoma poleni sana! Roho za marehemu zipumzishwe kwa amani!
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana kwa kutujuza na kuwatahadharisha watumiaji wa hiyo barabara mpya. Kama picha zinatisha usiweke, si vyema.
   
 7. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,317
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Huu ni msiba mkubwa bwana awatie nguvu wote walopoteza maisha na majeruhi wapone haraka
   
 8. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,547
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  RIP. Poleni wafiwa.
   
 9. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 424
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Poleni sana wote waliofikwa na ajali hiyo.
  pemzikeni kwa amani
   
 10. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Du ndugu mwandishi kweli Nyamshwa pale njia panda ya kwenda Butiama kwa mwalimu kweli kuna rami siku hizi? Mi nimepita tu kama mwezi hata upembuzi yakinifu ulikuwa bado
   
 11. M

  MGOME Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mie nilivyomuelewa mwandishi ni kwamba ajali imetokea jirani na Musoma along Musoma -Mwanza Road! Nadhani itakuwa hapa njia panda ya mwanzo ya njia (ya vumbi) ya kuelekea Butiama ukitokea Musoma mjini!
   
 12. wasaimon

  wasaimon R I P

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha....Roho za wana wa adamu zikipotea namna hii...RIP   
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,446
  Likes Received: 1,224
  Trophy Points: 280
  ajali ni mbaya sana...mimi leo asubuhi kidogo nigonge mwenda kwa miguu aliyekuwa anavuka barabara wakati magari yameruhusiwa na taa za kuongoza magari
   
 14. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,767
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Poleni sana!
   
 15. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,565
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu gari iliyopata ilikuwa inakwenda Bunda kupitia Butiama na Nyamuswa. Ajali imetokea nje kidogo ya Musoma.
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Picha tangu uahid saa sita usiku hadi saa kumi bado???ndo muda kidogo huo???
   
Loading...