Ifanyike kumbukumbu ya "Mwangosi Day" kila mwaka na Tasnia ya habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ifanyike kumbukumbu ya "Mwangosi Day" kila mwaka na Tasnia ya habari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Membensamba, Sep 12, 2012.

 1. M

  Membensamba Senior Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ili kuweka kumbukumbu ya kumuenzi Mwangosi na jukwaa la kuukumbusha umma umuhimu wa kuheshimu uhai wa wanadamu na kazi zao, napendekeza siku aliyouawa Mwangosi ifanywe siku maalum ya kukumbukwa na waandishi wa habari na wapenda amani kote nchini. Hii yaweza kujumuisha wote waliopoteza uhai katika mazingira kama ya kijana huyu, na itapeleka ujumbe kwa vyombo vya dola ipasavyo.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  sasa ni kuzidisha na huu msiba...
  after one month pengine kila kitu kitasahaulika

  Unakumbuka ajali ya Regia?
  '
   
 3. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,616
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  I concur with you
   
 4. M

  Membensamba Senior Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Actually ni kwa kutambua kuwa watanzania tuna tabia ya kusahau mambo mazito, ndio maana napendekeza iwepo siku ya kumbukumbu. Hii itasaidia kurefresh memory na kuweka umakini kwenye mambo kama haya. Na kwa kuwa wanahabari wana mdomo mkubwa wa kusemea ita-ring clear kwenye masikio ya watu ikiwa kwa mwaka mara moja watasema kama walivyosema leo.
   
 5. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ni wazo zuri.
   
 6. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Ni wazo murua! Nafikiri wanahabari wana siku yao kidunia, hivyo siku hiyo ingependeza zaidi kumuenzi pia Bw. Mwangosi kama alama ya kutetea haki za wanahabari TZ!
   
Loading...