Kwanini rais Kikwete anapenda kuficha majina ya watu anaoandamana nao nje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini rais Kikwete anapenda kuficha majina ya watu anaoandamana nao nje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Father of All, Sep 12, 2012.

 1. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  "Baadaye jioni, Rais Kikwete, ambaye anaongozana na kundi kubwa la Wafanyabiashara wa Tanzania, atashiriki chakula cha jioni ambacho ameandaliwa na Jumuiya ya Wafanya Biashara ya Kenya."
  Hilo ndilo jibu la swali hilo hapo juu. Je kunani kinachoendelea nyuma ya pazia kuhusiana na safari za Kikwete nje ambapo amekuwa akifanya siri watu anaoandamana nao?
   
 2. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Maana akiwaanika hamtaamini...wale mnao wasota vidole yeye ndo rafiki zake...mliowakataa kwenye sanduku la kura ndo vipenzi wake
  Mnaowajua wanauza candy kinondoni ndo wafanyabiashara wanaoambatana nae..
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Itabidi ataje na majina ya wadada anaoambatana nao pia, so bora kutotaja!
   
 4. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Kwenye msafara wake huwa lazima kuna babu mmoja ambaye ni mganga wa kienyeji. Huyu anaandama na JK kwenye safari zake zote za nje. Nadhani anafanya siri maana atasemaje kuhusu hicho kigagula?
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,600
  Trophy Points: 280
  Waende Kenya wakapanue uwezo wao wa kufikiria hasa kwa wafanya biashara....wajifunze sana kwa wenzetu wa Kenya!!!
   
 6. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Very interesting. Sikujua yote haya angalau wanangu mmeanza kunifungua macho. Hili liwe somo kuwa kwenye uchaguzi ujao tusichague mtu wa hovyo ambaye anaweza kuhatarisha usalama wa taifa letu na kutumia vibaya kodi zetu.
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Anajua tutahoji hizo gharama za kustarehesha maswahiba wake hao.

   
 8. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Na mie niko kwenye msafara jamani, ni mambo ya kawaida , orodha ya majina ichungulieni hapo mambo ya njee kwa mkuu wa protokali.
   
 9. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,805
  Likes Received: 2,577
  Trophy Points: 280
  Yupo Nahodha Shamsi,Hussein Mwinyi, Christopher Chiza,Bernard Membe.
   
 10. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  we unafanya kazi wapi....? ni rais yupi alikuwa akifanya hivyo unavyotaka wewe........?
  hivi hakuna jema hata moja kwa rais huyo......?
   
 11. NAFIKA

  NAFIKA Senior Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jema ni kuhudhuria misiba mingi kuliko raisi mwingine yeyote aliewahi kuitawala TZ.
   
 12. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Jamani kizuri kula na nduguyo,anawachukua ili akimaliza Urais wasimtupe mkono manake simnajua miaka 10 ya uraisi unasahau kabisa shida na wala hutaki kujua nani kala wala kijiji gani hawana maji...
   
 13. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1::biggrin1:
   
 14. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: wabongo bana...misafara ya rais hasa official trips lazima aambatane na wafanya biashara ndio jinsi ya kujikuza na kua na uhusiano na wafanya biashara wa nchi wanazotembelea..mfano prime minister cameroun wa UK akienda INDIA or CHINA lazima aambatane na business people wa nchi yake ambao wanaenda kukutana na business moguls wa nchi husika... hiyo ipo kila mahali...hata huyo wa kenya akija hapa ataambatana na wafanya biashara wa kenya...its normal guys...calm your skin down...:happy:
   
Loading...