Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maafande wanapogeuka kuwa waandishi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sir echa, Sep 12, 2012.

 1. s

  sir echa Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau angalieni hii picha naona maafande wamegeuka kuwa waandishi wa habari wakati wa maandamano ya waandishi wa habari, nini tafsiri yake?

  Maafande waandishi.jpg
   
 2. k

  katalina JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani kupiga picha ndo uandishi wa habari, mbona sikuelewi! Mwandishi wa habari ni zaidi ya kupiga picha mkuu.

  View attachment 64706 [/QUOTE]
   
Loading...