Msaada ENTRY GATE Julius Nyerere airport | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada ENTRY GATE Julius Nyerere airport

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sikiolakufa, Sep 12, 2012.

 1. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wakuu naomba msaada nataka kujua system ya kuingia Julius Nyerere Airport kwa gari nasikia gate lao ni electronic,je unafanyaje ili lifunguke? unalipia wapi au kuna button unabonjeza? naomba msaada kwa yeyote anayejua
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,238
  Likes Received: 12,949
  Trophy Points: 280
  Nenda ujionee utaelewa nini cha kufanya
   
 3. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Je ni kiwango gani cha pesa wanatoza? nitakuwa na mgeni kutoka ng'ambo sitaki kuaibika
   
 4. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kama unasindikiza au kupokea mgeni utafahamishwa,napoingia unakuta boom gate upande wa kulia utaona button ya kubonyeza ambayo itakupa ticket halafu boom itakuruhusu kupita kuelekea parking. Gharama kwa muda uliokaa ndani ya airport utalipa ktk kibanda kabla ya kuchukua gari yako ambapo utapewa tiket ambayo itakusaidia kufungua boom ya gate la kutokea, wakati mwingine utakuta askari atakufungulia manual baada ya kuonyesha ticket yako.
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Hehheheheheheh!!!.....haya bana ukifika kwenye Entrance gate mkono wako wa kulia utaona kimashine fulani na kuna buttona ya kubonyeza na utaibonyeza hiyo na ticket itatoka na geti litafunguka lenyewe, huna haja ya kushuka kwenye utabonyeza hiyo button ukiwa ndani ya gari.

  Kisha utaenda kupaki gari yako kwenye parking, baada ya kumaliza mambo yako kuna kibanda kipo upande zilipo parking, utalipia pesa kwa kuwapa ile ticket na utapewa risiti ni shillingi 500 per hour.

  kwenye Exit gate utapenyeza ile ticket uliyopewa kwenye Entrance gate na gate litafunguka lenyewe au wakati mwingine kunakuwa na wafanyakazi wanakusanya ticket kwa mkono na wanafunguwa geti wenyewe, kama hujui Wabongo kazi na dawa hapo ndio muda wale wanaopakigi magari yao masaa mengi unawapa vijana shilling1000 unapita.
   
 6. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Yaani distazo nakushukuru sana sana ndugu yangu....
   
 7. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapi Terminal One au Two?
   
 8. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Mkuu matola umenikuna...hapo unaposema kazi na dawa unamaanisha nini? vijana gani niwape elf moja? maana mimi nakwenda kumpokea rafiki yangu wa kizungu wa jinsia ya kike anakuja kunitembelea sijaingia pale siku nyingi....je ule wizi mdogo mdogo haupo?
   
 9. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye nyekundu nimeshangazwa juzi mkuu... sasa hivi ni Buku sio jero tena!!!
   
 10. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  General airport mgeni anakuja na ndege inaitwa KLM saa tatu usiku sasa sijui ni terminal gani
   
 11. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,343
  Likes Received: 6,689
  Trophy Points: 280
  mkuu unasiku nyingi hujapita njia hiyo!!!!ni 1000 per hour!
   
 12. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye nyekundu"hii inaitwa rushwa au ufisadi? kwanini tunakubali kuibia taifa mchana kweupee? huu uwanja ni wa taifa la Tanzania na sio mali ya mtu binafsi, nitalifanyia kazi suala hili, mtasikia kwenye bomba.
   
 13. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ishu nyingine nitamtambuaje mgeni wangu maana hatujawahi kuonana....nafikiri nitavaa nguo yenye rangi kali( crazy colour) ili iwe rahisi kwa yeye kunitambua ni binti wa kizungu
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Mwanzo linidhani unahitaji msaada kumbe nia yako tujuwe kuna demu wa Kidhungu anakuja na wewe ndio umetumwa kumpokea!! wahaya bwana!!

  Haya fanya hivi, kata kipande cha box kikubwa halafu andika jina lake kwa maker pen na usimame mstari wa mbele passenger wa KLM wanaposhuka Mzungu wako ataliona jina lake atakufuata yeye mwenyewe na atakukumbatia na usiogope na wewe kumu hag
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Hivi kwenda Terminal one kuna entry gate kweli!?
   
 16. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,631
  Likes Received: 2,055
  Trophy Points: 280
  Kama unaogopa kuabika unakaa jirani na uwanja kitu kikianza kushuka unaingiza gari
   
 17. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hahahahahaahh my ribs mkuu hahahhahaahahhaahha..........hivi hawa wahaya mbona wanapenda sana kujikweza? hahahahha
   
 18. 1

  19don JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  sasa maeneo yote ya parking airport yanalipiwa tsh 500 kwa saa
   
 19. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160

  Andika Jina lake kwenye karatasi kisha utalishika kama bango
   
 20. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Poa mkuu hakika jamii forums ni home of great thinkers nimepata msaada tosha asanteni wakuu
   
Loading...