Mliman Tv mashuhuda wa kifo cha Mwangosi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mliman Tv mashuhuda wa kifo cha Mwangosi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Xidian, Sep 11, 2012.

 1. Xidian

  Xidian JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  watch Mliman Tv
   
 2. Xidian

  Xidian JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  nyumbani kwa marehemu
   
 3. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  2peni update wakuu
   
 4. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee babaangu mbona wameweka kwa ufupi sana imekwisha inasikitisha sana wakuu
   
 5. Miss-Thang

  Miss-Thang JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 351
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 60
  Wameshuhudia mauaji yote au?
   
 6. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 7,607
  Likes Received: 1,097
  Trophy Points: 280
  Mlimani Tv si manajua inakamata Dar pekee sasa sie tuliopo Itabagumba mbona hamtupi kwa kifupi japo text based on your observation
   
 7. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 0
  Sijui kwa nini hako ka tv hawakaweki kwenye king'amuzi? Chuo kikuu kisicho kubali kuwekeza kwenye teknolojia wakati huu wa teknohama nao pia ni udhaifu!

  Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
   
 8. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 27,846
  Likes Received: 6,696
  Trophy Points: 280
  Hebu waweke hako kasteshen kwenye king'amuzi maana nasikia huwa kanatoa habari motomoto.
   
 9. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mlimani TV haionekani mikoani, lakini thread zake za hapa JF inaonesha ni tv station ya ukweli.
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  aisee hii documentary inanitia hasira sana, kuanzia waziri wa mambo ya ndani, igp na kamuhanda wote watimuliwe kazi. Kamuhanda ashtakiwe pamoja na polisi wote waliokuwepo nyololo wote washtakiwe.
   
 11. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  aiseee babaangu kiukweli siku hizi mlimani tv inakuja ka nguvu zote kimejitowa muhanga kinamwaga habari moto moto
   
 12. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ni kweli mkuu ni nadhani ikitoka itv inakuja star tv then milimani tv wakuu
   
 13. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #13
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 0
  Washauri wakatupie kwenye king'amuzi ingalau tupate channel za kuangalia za hapa nyumbani. Wale TBCCM nime wablock rasmi leo.  Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
   
 14. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2012
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,284
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tunaomba summary!
   
 15. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,033
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
 16. N

  Nguto JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,280
  Likes Received: 321
  Trophy Points: 180
  Mlimani TV kiboko. Wametuhabarisha vizuri sana nini kilitokea nyololo na mambo yaliyofuata baada ya mauaji. Asante sana Mlimani!
   
 17. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,221
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  Yaani naimisi sana hii tv maana dah naikubali dunia nzima.
   
 18. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,447
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  ilikuwepo kwenye kin'gamuzi cha startimes ilitoweka baada ya kuingizwa itv na startv hadi leo hijarudi
   
Loading...