sumu ndani ya club rock bottom

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
wadau kuna habari zimezagaa hapa mza "the rock city" kuwa kuna mtu alipuliza sumu ndani ya club rock bottom siku ya jmosi usiku, watu kadhaa walijeruhiwa. mwenye habari kamili atujuze tafadhali. . . .
 
Nilikuwapo, kilichotokea ni kupulizwa kwa moshi unaofanya upaliwe na kukuhoa... watu walitoka nje, lakini baadae tulirudi na kuendelea na starehe. Binafsi sikuona aliyejeruhiwa.
 
Hamna kitu ka hicho.. Story za kwenye kahawa.!!
source: dj rock bottom

Boss kutokea ni kweli ilitokea, lakini mimi sikuona aliyeumia.. ile hewa ilikuwa inakereketa na kupalia , sijui sasa kama inaqualify kuitwa sumu.
 
Back
Top Bottom