Just now. ajali uhasibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Just now. ajali uhasibu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Aug 27, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  hizi trafiki light hapa vipi? Wahusika wamelala? Uhasibu ya hapa karibu na uwanja wa taifa
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  hakuna aliyejufa ila ni uzembe ..
   
 3. c

  chakarikamkopo Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nashangaa sehemu hii hatari kabisa trafic police hawataki kuongoza magari (taa mara nyingi haziwaki hapa) lakini sehemu sizizo hatari na zenye taa wakati wote ndio wako kimbelembele kuongoza magari....nadhani wanafaidika na ajali za hapo maana kwa siku si chini ya tatu................
   
 4. MANI

  MANI Platinum Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,413
  Likes Received: 1,872
  Trophy Points: 280
  Yaani wao wanangoja mgongane ndio wanakuja!
   
 5. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,351
  Likes Received: 2,690
  Trophy Points: 280
  maeneo ya huko ni makazi ya walalahoi,hivyo hakuna kipaumbele....njoo sealander au pale stanbic ubalozi uone traffic makwapa yanavyowatoka jasho kuhakikisha wanene wanaflow na ndinga zao kwenda makazini au kurudi maskani
   
 6. mwakajila

  mwakajila Senior Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  toka mwaka uanze hiyo ni ajali ya 60+ trafiki lights haziwekwi hao sababu hazijulikani...ukivuka mnakuwa kama mnaviziana...sijui wanataka tuandamane kwa vitu vidogo kama hivi?TANROADS wamelala tu hawana habari kabisa...
   
 7. Kipis

  Kipis JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hiyo sehemu,na ile ya serengeti, ina mvutano na mabosi wa free mason kwani ni sehemu zao za kutolea kafara. zile taa zilishawahi kuwashwa lakini hazikuchukua mda mrefu zikazimwa hadi leo hii.
   
 8. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  haaah haaah then licha ya trafiki panakua na polisi mpaka nane hapo hapo njia panda ya obay na smg zao cjui hata wanamlinda nani.
   
 9. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,112
  Trophy Points: 280
  na kwa nini kila mara umtegemee askari? ipo siku mtagongana mbele ya askari. badiliken, haraka ya nini mjini?
   
 10. c

  chakarikamkopo Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nadhani hujui tunachoongea, na wewe sio mpitaji wa eneo hili,
   
 11. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,097
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Hata pale uhasibu wapo wanakaa kwenye kibanda walichojengewa mtandao wa simu (sikumbuki kama ni voda au tigo). Ni kama wanasubiriaga ajali kwani hawatoki bandani hadi ajali itokee.
   
 12. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,221
  Trophy Points: 280
  Inawezekana ni mradi wa hao wavaa sanda nyeupe. Kwa Tanzania hamna kitu cha kushangaza tena. Kila kitu kinawezekana.
   
 13. Q

  Qixima mQiqa Senior Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wamejengewa na mtandao wa vodacom kazi yao ni kusubiria ajali na malori yanayo toka na yanayo kwenda bandarini ili wapige pesa
   
 14. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  na bado tunaendelea kuipigia na kuishangilia ccm ya Kikwete.. This is so sad i dont know why hatuamki bado labda hadi tupigwe bakora ndio tutaamka sisi watanzania ama wadanganyika
   
 15. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  manispaa ya temeke hailipii imeme wa kwenye mataa hata ule wa barabarani. Temeke nzima hamna sehemu ambapo taa za barabarani zinawaka. wenzao Ilala wameweka umeme wa solar power kwenye mataa lakini temeke wameshindwa kabisa. Ndo maana tunataka ccm itoke madarakani. Sijui watu wanapo kufa ndo wanafurahi!?. hapo uhasibu wewe dreva ndo inabidi uwe traffic pia. mia
   
Loading...