Eti wachina wanaingia nchini na kuchimba madini bila serikali kujua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti wachina wanaingia nchini na kuchimba madini bila serikali kujua?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Father of All, Sep 11, 2012.

 1. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  Huwa nashangaa mantiki ya kuwa na serikali iwapo wachina na wageni wengine wanaingia na kujichimbia madini yetu kiholela huku wawekezaji wakichukulia watakavyo. Je nini mantiki ya kuwa na serikali isiyofanya lolote kuhakikisha usalama mali na raslimali zetu?
   
 2. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Ndio zao duni nzima.Wapo Africa nzima...marais wetu wapo busy duniani kote waki- prove kuwa wao ndio bora kuliko wazungu.Tunawaita comrades achilia mbali mauaji na unyanyasaji wafanyiao wazawa wanaodanganya kuwa wana vibali na kwenda nao huko maporini au katika magodn wanapojificha.
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Haukuonyesha Wachina Wezi...


  [​IMG]
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Tena hao ukiuliza makaratasi hawana kitu... Hawana hata visa ya kuishi hapa tz ukiachilia kufanya kazi
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Baba wa Wote,
  Nimefurahi umeleta hii topic hapa jukwaani. Tanzania kwa hakika tumelaaniwa. Nimesikitika zaidi niliposikia kuwa jamaa kapewa faini ya shilingi milioni moja tu na wala hakufukuzwa nchini. Ni nchi nyingine gani tena duniani ambayo inaweza kuruhusu watoka nje waje na mitarimbo yao, kujichimbia madini, tena katika maeneo yasiyoruhusiwa, na kupewa faini ya "a slap on the hand," na kuachwa waendelee na maisha? Mimi nilidhani hawa watu wangepigwa PI mara moja, lakini kumbe wataendelea kuvuna kwenye shamba la bibi. Na hii inanipelekea kwenye point nyingine. Hivi kwa nini hatuna sera za maslahi katika madini yetu? Mnawezaje kumwita huyu jamaa mwekezaji? Kawekeza nini? Mtaimbo wake wa kuchimba ndio uwekezaji? Juzi nilikuwa nasoma ripoti kuhusu Mongolia. Rais wao amekuja na dhana inaitwa "resource nationalism" baada ya kubainika kuwa kuna madini mengi nchini. Urusi, Marekani na China hivi sasa wanapigana vikumbo huko Mongolia kuvuna madini hayo lakini jamaa baada ya kusoma Marekani alirudi kwao na kusema kuwa madini ni lazima yabadilishe maisha ya raia wake. Tunahitaji msimamo na uongozi kama huo Tanzania.
   
 6. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  We are hypocrites. Are those black people chinese?
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  chi haina utawala so what do you expect?
   
 8. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Umesikia hukumu yao? Shilingi Milioni moja au jela miezi minne, wakati wazawa tukiiba kuku tunafia magerezani. Kuna kiongozi wa serikali ya CCM anashirikiana na hao wachina. Imagine ingekuwa kinyume, yaani mtanzania kakamatwa china anachimba madini bila kibali, Je hukumu yake ingekuwa nini?
  HILI SERIKALI LETU BWANA, BURE KABISA BORA LIONDOKE
   
 9. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wabongo jamani tuache chuki na roho mbaya......ndio maana hatuendelei.....

  Mchina hawezi kujichimbia madini kiholela hata siku 1......Sisi wenyewe kwa utapeli wetu na tamaa ya kupata

  pesa kirahisi...ndio tumewapa pori la kuchimba madini kisha tunawegeuka....

  zomba
  hebu nisaidie kuwaelimisha hawa watu wasio sarifika
   
 10. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Zakumi,
  Those black people are working for the Chinese. Look at the picture again. Who is the master and who is the servant?
   
 11. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wala tusiwalaumu wachina. Hapa tuwalaumu ccm
   
 12. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Uko sahihi mkuu....unafiki, majungu na utapeli ndio asili yetu
   
 13. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Duh!!!!!!!!!!!mmenikumbusha TWIGA wetu
   
 14. S

  Sir M.D.Andrew JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Rais yuko bize,ya hapa ndani hayamhusu,kiwango chake kimepanda amekuwa wa kimataifa zaidi,labda mtaalam wa kukata utepe ayashughulikie.
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hawa hawasarifiki wala hawasadifiki. Uchimbaji na sheria zake ziko wazi kabisa na hao wala hawajifichi, wana vibali vyote, anaerusha tuhuma aweke ushahidi. Hawana, watabaki kulalama tu.

  Mijitu yenye roho za kichawi utaijuwa tu, waambie waache kutoa vibali, tena hivi vibali huwa vya ngazi zote kuanzia kata mpaka taifa. mlolongo wake kuvipata ni mrefu kuliko treni ya Mwakyembe.

  Utakuta jamaa kakosa dili analeta majungu JF.
   
 16. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #16
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hapo nakukubali kabisa....Swadakta!
   
 17. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #17
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  upo kiongozi?
   
 18. k

  kinyunyu the Great New Member

  #18
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waziri wa Nishati na Madini uko wapi na Unafanya nini, na kazi yako ni nini? wandugu jaribuni kufuatilia kwa sababu hata Rudewa jambo hili linaendelea kufanyika?
   
 19. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  ur great thinker 100%. mwenye akili hatauliza tena . nchi hii itachukua miaka kubadilika.
   
 20. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Rushwa imefanya kazi, nchi ya kitu kidogo.
   
Loading...