Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

SUALA la Muungano limeibuka karibu katika kila mkutano wa Tume ya Kukusanya Maoni ya Mabadiliko ya Katiba, ambapo juzi askari Polisi Josephat Mwamunyange, alijitambulisha mbele ya mabosi wake...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Maisha yanaenda yakibadilika, huko nyuma tuliowahi kuzaliwa, M/MUNGU akikujaalia kupata kibarua, jambo la kwanza utatafuta kiwanja, kumezuka mtindo miongoni mwa vijana wengi wa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Kuna "madudu" mengi yanayofanywa na wafanyakazi wa vivuko vya M.V. KIGAMBONI na M.V. MAGOGONI kama haitoshi hata wale wakatisha tiketi ambao wamepata ajira kwa misingi ya ujuani. Nalotaka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ghafla usingizi unaniisha nacheki saa ni saa nane na nusu hivi nasogelea laptop yangu nadaka Modem ya voda nachomoa line niwekea salio najiunga na kitu cha nit kali cha mia 200 napata email hii...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tanesco wamekuwa na spin nyingi sana za matengenezo. Leo wametutangazia kutakuwa na ukosef wa umeme ilala kuanzia saa 3 had saa 11 tar 27 mwez 9. pia wametangaza kinondoni watakosa umeme tar 28...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
ASKARI polisi mwenye cheo cha koplo, Mlima Mnyasi ‘Katafunua' wa Kituo cha Kilwa Road Mkoa wa Kipolisi wa Temeke jijini Dar, hivi karibuni alikutwa amejinyonga hadi kufa katika lori la...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna matangazo kwenye luninga na magazeti yanayohusu Tanesco. Hili tangazo linawataka watanzania kuwapa ushirikiano wafanyakazi wa tanesco pindi watakapopita kukusanya maoni ya wao wanahitaji...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ni swali ambalo najiuliza kila saa nakosa jibu kwani nisingekuwa member wa jf nisingejua kwamba lema alihutubia jana.kina chonishangaza ni kwamba cjackia taaarifa yoyote kwenya tv huhusus hilo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenye majina ya waliopitishwa kugombea nyadhifa mbalimbali kama Mwenyekiti wa Mkoa/Wilaya wa CCM, mwenezi, Uchumi na fedha, NEC n.k naomba atuwekee ili tuweze kuona vizuri.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndg zangu wanaJF, leo nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku kituo cha ITV, nikamwona mama m1 wa kibamba anayesumbuliwa na tatizo la kuvimba mguu. Tatizo lake limemsabishia madhila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wandugu nimekuwa nikijiuliza mara baada ya kuona tangazo hili je ina maana ya kwamba serikali imebadilika au ni danganya toto?
0 Reactions
2 Replies
931 Views
When media titan News Corp. first purchased MySpace in July, 2005, for $580 million, the thought of selling it just six years later for $35 million was unthinkable. But it happened. Now, a year...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu mama kuna uwezekano mkubwa akawa rais ajaye either baada ya Obama ama Romney.Ila ninaamini itakuwa Obama. Sisi wengi wa matajiri wetu ni mafisadi.Sisemi kuwa ni wote.Lakini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jana katika kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa hewani na Clouds Radio mtangazaji Gerald Hando alikuwa akijipendekeza kwa JK na na CCM kwa kuwamwagia sifa kibao kwa miradi mbali mbali ya...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Rais mtarajiwa mh bernard membe akiwa na rais wa marekani anaemaliza muda wake mh obama huko usa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kumekuwa na kawida watu wengi hata viongozi kila wana chosema wanafananisha na kenya,je hakuna nchi nyingine ya kutolea mfano? pili sisi hatuna vitu ambavyo wakenya wanaweza kujifunza kutoka kwetu?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Aliyekuwa mbunge Arusha mjini Godbles Lema ameushangaza umma hapo jana alipowaambia wananchi kuwa mkewe amejifungua mtoto wa kiume na amempa jina m4c
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Kila siku naona nafasi za kazi kwenye magazeti za hawa watu wanafanyakazi wengi sana?? Maana nadhani kama si hivyo basi wananyanyasa watu na hivyo kila siku watu wanaacha na wao wanaendelea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi wajameni yale mashindano ya SHIMIWI yanayotumia fedha nyingi kusafirisha timu toka wizara usika kwenda kushiriki michezo mikoa mingine yana faida gani? Naomba kujua maana naona kama ni njia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…