Shule moja mkoani Mbeya, katika wilaya chunya jina linahifadhiwa kapuni (xxxx) imelazimika kufungwa ghafla kwa kuwa choo kimejaa na wanakijiji wamegoma kuchimba choo kingine. Kwa hali hiyo sijui...
Nimetafakari sana kuhusu mikutano mikubwa inayopendwa na watu wengi tanzania ni
1.MIKUTANO YA CHADEMA
2.MIKUTANO YA KIKRISTU
3.KONGAMANO ZA KIISLAMU
4.MIKUTANO YA KIMILA
5.MIKUTANO YA...
Mara nyingi tumekuwa tukiwasikia polisi wakizuia mambo kadha wa kadha yasifanyike kwa sababu za kiinterijensia, hawa ni wataalam waliobobea katika kutafuta taarifa muhimu ambazo kwa mtu wa kawaida...
Zibaki pikipiki za kawaida za maofisini na private . Lakini sio hizi za biashara ya kubeba watu. Hawa vijana waofanya hizi biashara bado hawaja qualify kubeba abiria na kuingia barabara kubwa...
Mtu anayejulikana kwa jina la Iman Paulo wa kijiji cha Muhange, amemtafuna mfanyakazi wake uso wote, pua, macho, maskio na mdomo wote. Aliyetafunwa anaitwa Sununu,baada tendo ili jamaa huyu...
Waziri wa Sayansi na Teknolojia,Prof.Makame Mbarawa amewatoa hofu wananchi kwa kuwaambia kuwa hawapaswi kutupa TV zao hata kama 'Digital' itatumika Tanzania nzima.Akizungumza na Radio One leo...
Yale ya watu wasio na uwezo kuongoza Idara za Serikali yanaendelea. Sasa ni Law School of Tanzania. Ni kuhusu matokeo ya wanafunzi kuchakachuliwa. Leo unapewa matokeo haya,kesho yale. Jana,Law...
Ni miezi iliyopita tu wataalamu kutoka mamlaka hali ya hewa walitutahadharisha kwamba kutakuwapo na mvua nyingi mno hivyo tujihadhari.Shirika la Umeme Tz wakaanza pia kazi yao ya kubadilisha zile...
Kibaha kuna accdent kati ya basi la wanafunz Mount Morian na Aboud.kwa mbele bus limearibika sana majeruhi wamepelekwa Tumbi, sijaona kama kuna waliokufa. Nipo ndani ya KLM naelekea kwa bibi Mo town
Hii ni habari ya ukweli kwenye mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha, hapo nyuma jamii ya wafugaji hawa walikua wanalima maboga pamoja na viazi kwenye ukanda huu wa Ngorongoro maeneo kama...
Ama kweli TZ ni hovyo kabisa...leo asubuhi katika kile kipindi cha power breakfast nimesikia kuwa kuna recruits wapya wa jeshi la polisi ambao walipelekwa CCP-Moshi kama waajiriwa wapya kumbe ni...
Kuna suala la mfumo wa digital ambao kuanzia mwezi wa kwanza unaanza kutumika lakini je watanzania wanayo elimu ya kutosha kuhusu mfumo huu?je,wewe unasemaje? unalionaje?
Na Jovin Mihambi
MOJAWAPO ya shughuli za serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii ni kuendeleza sekta ya utalii wa ndani na nje ili kuweza kuliongezea Taifa pato kubwa linalotokana na sekta...
Hivi huyu mungu wetu aliamua kuvuta mafaili ya wasanii nguri mwaka huu tu kuwa ndio watangulie mbele ya kiti chake?! Sielewi kwa nini kifo hiki kimenigusa kuliko vifo vingine vya wasanii...
Wana JF nimekuwa nikipata taabu sana kujua ratiba kamili ya usafiri wa Train kwani mara ya mwanzo nilikariri kuwa train huondoka saa 12:05 asubuhi Ubungo na kupita mahali ninapopandia saa 12:15...
Mdau, Yafuatayo ni maoni yangu kwa haraka haraka,ambayo ni jibu kwa wadau fulani walioniuliza kwanini bei ya gari fulani ipo juu. Naomba kwa pamoja tuchangie kwa manufaa ya wote.
Najua...
Tujadili hapa sababu ya kwangu mtandao wake umeenea kila mahala ukifk sehemu yeyote tz kipo karibu na wananchi kuliko vyama vengine ambavyo viko too selective mijini tuu tuongee ukweli je mijini...
Wingu la huzuni limetanda kwa waislamu baada ya kifo cha mpendwa wao
Mhadhiri maarufu wa kiislamu IMANI PETRO kilichotokea Jana usiku.
Mazishi yatafanyika leo, taratibu zinapangwa nyumbani kwake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.