Am not sure whether this is the right forum or not but i stand to be corrected as well to be forgiven. the thing here is that the community hatred have jeopardized my carrier, social status and...
TUKIO: Samaranta binti mzuri aliondoka chuoni kwake jioni moja kwa kusudi la kwenda kumfurahisha mzee mmoja jirani yao, ambaye amekuwa akimtaka kimapenzi kwa ahadi ya zawadi kemkem...
Habari ya kweli iliyotokea hivi karibuni.
Kuna dada mmoja anasoma chuo buguruni na pia ni mfanyakazi hivyo jioni akitoka kazini ndipo huenda shule.Sasa akiwa njiani kuelekea chuo akapigiwa...
TUKIO: Samaranta binti mzuri aliondoka chuoni kwake jioni moja kwa kusudi la kwenda kumfurahisha mzee mmoja jirani yao, ambaye amekuwa akimtaka kimapenzi kwa ahadi ya zawadi kemkem. Haikumchukua...
JUMATATU, NOVEMBA 26, 2012 05:29 NA GABRIEL MUSHI, DAR ES SALAAM
*Waliohusika watiwa mbaroni
*Kardinali Pengo awaasa waumini
MIGOGORO ya kidini, imeendelea kushika kasi baada ya watoto wawili...
At 31, Ashish J. Thakkar is one of the wealthiest, most successful entrepreneurs of Ugandan origin. He is the founder and CEO of the Mara Group, a conglomerate with tentacles in everything from...
SWALI: Kuna msanii mmoja maarufu sana alifariki siku za hivi karibuni na watu wakasema eti alitabiri kifo chake kwa kuwa alicheza filamu yenye matukio yanayofanana kabisa na yaliyotokea kwenye...
Nilikuwa nafuatilia usaili wa polisi wapya nchini Kenya katika tv siku kama tatu zimepita . Kigezo chao kikubwa ni kwamba anayeomba nafasi ya kujiunga na upolisi ni lazima awe na DIPLOMA yeyote...
Ndugu zangu wanajf.
Nimegundua kuwa kuna tatizo kubwa mno katika utendaji wa ofisi ya cag.mwaka jana hapa katika halmashauri ya wilaya ya musoma madiwani waliikataa rasmi taarifa ya cag kwa...
Wakuu naomba kuuliza kilasiku nimekuwa nasikia kuwa watu wameshikwa na Bangi,Cocaine's zenye /vyenye thamani ya shilingi milioni 200,swali je vitu hivi wanajuaje bei yake wakati haviuzwi...
Waziri Mkuu aliyejiuzuru, EL amewasili Jijini Mbeya leo asubuhi tayari kwa kuendesha zoezi la harambee ya kuchangisha pesa kwa ajili ya ujenzi wa mabweni ya wasichana ya Chuo kikuu cha Moravian...
CCM baada ya kupigiwa kelele muda mrefu kuwa imekithiri rushwa, wizi, ujangili, uhujumu, uzembe na kukosa umakini ndani ya chama na serikalini imeamua kuwaonyesha watanzania wazi kuwa kelele zao...
Baadhi yake ni
1. Mbunge mmoja wa CDM ni sawa na viongozi 60 wa ccm kiutendaji.
2. Kama hamuwezi kulipia pantoni, pigeni mbizi
3. Kwahiyo inamaana baba yake Dr.Slaa ni shoga.
4. Niwarambe...
Diwani wa CHADEMA aliyehamia CCM amemtuhumu Lema . Je kama sababu anayotaja ndiyo ya msingi kuhama CHADEMA je huko alikohamia ni salama?? Kuna nini CCM angalia Mwanamke mmoja anayeitwa Rahma...
Watanzania wenzangu walamika hakuna ajira hata ile ya kuuza nguo kariakoo imechukuliwa na wageni wakijiita wawekaji au wafanyabiashara wakubwa na huku hata mtaji wa 10 Mill.hawana,na mara nyingi...
Katibu wa itikadi siasa na Uenezi wa CCM Nape Nauye amesema kuikabidhi Nchi kwa wapinzani ni sawa na kumkabidhi Fisi Bucha,ambaye mwisho wa siku bada ya kula na kushiba atakimbia na kuiacha bucha...
Nikiwa muathirika mkuu wa jambo hili limeniuma sana tena sana na sijui watanzania wangapi washafanyiwa hili jambo. Nikiwa miongoni wa wasafiri na kusubiri mizigo yetu pale sehemu ya kukusanyika...
Wakulima poleni sana, jitihada zenu zinakwamishwa na mfumo wa kifisadi uliopo nchini na hawana nia nzuri na nyie. Haiwezekani mtu anajipinda kulima kwa muda mrefu anakwenda kununua anapewa mbolea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.