Shule ya msingi yafungwa kwa madai kwamba choo kimejaa, wanakijiji wagoma kuchimba kingine

DR. PHONE

JF-Expert Member
Nov 12, 2012
504
91
Shule moja mkoani Mbeya, katika wilaya chunya jina linahifadhiwa kapuni (xxxx) imelazimika kufungwa ghafla kwa kuwa choo kimejaa na wanakijiji wamegoma kuchimba choo kingine. Kwa hali hiyo sijui jukumu la kuchimba choo ni la serikali au ni wanakijiji husika, naombeni majibu ndugu zangu
 
DR. PHONE huko ndiko kwa Mulugo waziri wa JK aliywasilisha taarifa mkutanoni kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe.
 
Last edited by a moderator:
hao wazazi watoto zao watakuwa hawasomi hapo kama wanasoma hapo wazazi hao nao hamnazo
 
Back
Top Bottom