Anayejua ratiba sahihi ya Train ya Mwakyembe atusaidie


M

Mchokozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2012
Messages
215
Likes
0
Points
33
M

Mchokozi

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2012
215 0 33
Wana JF nimekuwa nikipata taabu sana kujua ratiba kamili ya usafiri wa Train kwani mara ya mwanzo nilikariri kuwa train huondoka saa 12:05 asubuhi Ubungo na kupita mahali ninapopandia saa 12:15, lakini ghafla kuanzia wiki hii Train hilo limbadilisha ratiba pasipo taarifa, linaondoka saa 12:25 asubuhi, je kilichofanya mabadiliko hayo ni nini? na kwa nini yamefanyika kimya kimya kimya????, mwenye data za ratiba kamili hata kama ni mhusika mkuu mwaga kwenye JF ili nisiwahi kuamka tena kwaajili ya kujiandaaa kwani huwa nakatisha starehe za asubuhi za familia
 

Forum statistics

Threads 1,236,308
Members 475,050
Posts 29,253,663