• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Ajali Kibaha

by default

by default

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Messages
841
Points
195
by default

by default

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2011
841 195
Kibaha kuna accdent kati ya basi la wanafunz Mount Morian na Aboud.kwa mbele bus limearibika sana majeruhi wamepelekwa Tumbi, sijaona kama kuna waliokufa. Nipo ndani ya KLM naelekea kwa bibi Mo town
 
cacico

cacico

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
8,386
Points
1,250
cacico

cacico

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2012
8,386 1,250
hiki ni kile kipindi drivers should very careful!! yaani MUNGU atulinde na atuvushe salama to 2013! waugue pole majeruhi na wapone tena, amen!
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
34,493
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
34,493 2,000
aiseeeeee balaaaaaa
 
by default

by default

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Messages
841
Points
195
by default

by default

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2011
841 195
Wanauita mwezi wa MAVUNO ndugu zangu ma mangi mwez wenu wa kwenda kuhesabiwa pigeni sala idadi isipungue bali iongezeke
 
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
7,050
Points
1,225
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
7,050 1,225
Nawapa pole majeruhi.
 
N

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Messages
575
Points
195
N

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2011
575 195
pole zao majeruhi. Mungu awaponye haraka.
 
mizambwa

mizambwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2008
Messages
4,435
Points
2,000
mizambwa

mizambwa

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2008
4,435 2,000
POleni sana.

Lakini bado najiuliza kila mara, kwa nini mabasi ya ABOOD yanatengeneza sana ajali???????MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
nyabhingi

nyabhingi

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
14,114
Points
2,000
nyabhingi

nyabhingi

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
14,114 2,000
kibaha kuna majini mengi sana
 
mopaozi

mopaozi

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Messages
3,306
Points
1,250
mopaozi

mopaozi

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2010
3,306 1,250
Dah sijashangaa bus la abood kuhusika hapo ni kafara ya majeruhi damu imepatikana
 
N

NKANOELI

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Messages
204
Points
170
N

NKANOELI

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2012
204 170
Mungu wangu,ee yesu uwalinde na kuwaponya majerui wote.nimepata taarifa toka kwa teacher agnes watoto watano ndo wameumia na wako tumbi sasa hivi kwa matibabu.
Wito wangu kwa madreva wote haswa wa abood waache tabia yao ya kubana pembeni kuzuia magari yanayopita pembeni,kwani hawajui mabasi ya shule yanaruhusiwa kupita pembeni?
 
LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
11,035
Points
1,250
LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
11,035 1,250
MUNGU awatie majeruhi nguvu na hata wapone mapema!
 
B

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
9,743
Points
0
B

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
9,743 0
POleni sana.

Lakini bado najiuliza kila mara, kwa nini mabasi ya ABOOD yanatengeneza sana ajali???????MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
kwa sababu kuna watengeneza ajali
 
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
20,069
Points
2,000
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
20,069 2,000
Hawa waarabu wenye mabasi ni washirikina sana
 

Forum statistics

Threads 1,403,289
Members 531,177
Posts 34,419,815
Top