Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

mh rais kuna tuhuma zipo katika star tv inasemekana jangili lililokamatwa liliwahi kupata msamaha wako. tunaomba kupitia msemaji wako wa ikulu uje huku kutolea ufafanuzi. na vilevile atueleze...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Uganda will pass anti-homosexuality bill this year, says Speaker Death penalty clause dropped from latest draft but bill encourages violence against gay men and lesbians, say activists...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
nini chanzo cha mvutano wa vyama vya siasa
0 Reactions
1 Replies
857 Views
Ndugu wadau naomba anayefahamu anifahamishe kuhusu hii inayoitwa kodi ya dumping fee ..... wanaposema ushuru wa gari ikizidi miaka kumi inatakiwa kulipiwa uchakavu yaani dumping charge . Je hii...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Moods, Tafadhali hii ni stand alone thread, naomba msii i link popote unless mni PM Kwanza Nimekuwa najiuliza hivi hiki Kipindi cha 45 Minutes cha ITV ni kwa ajili ya Wanachama Viongozi kutoka CCM...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanabodi naomba niwaletee habari ya kada wa Chadema ndugu Magoma, Magoma ndio aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya arusha mjini hadi mwaka jana ambapo alijiuzulu kupinga madiwani wa chadema...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
'Fanya kazi yako kwa furaha'. Hata kama ni mfagia barabara fagia kwa kiwango cha juu mpaka kufikia tuzo la mfagiaji bora nchini, africa na hata ulimwengu mzima.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Hayo ni maaneno aliyokuwa akiyatamka Sheikh Faridi wa UAMSHO kuhamasisha wafuasi wake,,,nao wakajibu hatuutaki..pia Watanganyika tumeshauriwa ni heri tujiunge na Kenya!!! Source:ITV-habari ya saa 2
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Kuna pesa nyingi ambazo zanatolewa na Wasukuma wengi hapa MLIMBA mkoani MOROGORO-KILOMBERO, kama faini kupitia agizo lililowataka watoe ng'ombe ambazo zilionekana ni kero na uharibf wa mazngira...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninauliza kuhusu uongozi ktk Universities zetu. Taarifa niliyopata ni kwamba sasa hivi vyuo vikuu vitatu vya serikali yaani, chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), Chuo kikuu Dar (UD) pamoja Mzumbe, vyote...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
mhandisi mkuu tazara kutupwa segerea
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Na Florence Majani Unapoingia katika mji wa Bagamoyo unalakiwa na taswira ya mji nyamavu, usio na purukushani wala shughuli nyingi.Hii ni tofauti sana na hapo zamani. Kwani hata Mjerumani Franz...
1 Reactions
2 Replies
8K Views
Sijui kama ni maskio yangu lakini badala ya Baraka naskia BLACK nami naamini wanamwita hivyo makusudi. Au wenzangu mnasemaje?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
BAADHI ya watumishi wa simu za mkononi inaelekea wameanzisha biashara mpya isiyo na kodi nayo ni kukata muda wa maongezi mtu aliolipia na kuuhamishia kwenye simu au zana nyingine za kitahama ili...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Inaaminika kwamba kila kijana anaye jiunga na ccm popote pale nchini ni mchumia tumbo la sivyo anatoka familia ya kifisadi hii ni kwa sababu zifuatazo 1. angalia majina ya watoto wa vigogo kweny...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau na kabiashara kangu nataka nitumie mtandao wa facebook kutangaza naomba wenye uzoefu mnipe mchanganua wa ghrama zake na jinsi ya kulipia!na je inalipa kutangaza on facebook??
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Afanya Mapenzi na Mifupa ya Maiti Afanya mapenzi na mifupa ya maiti Mama mmoja mwenye umri wa miaka 37 ameshitakiwa nchini Sweden kwa kufanya mapenzi na mifupa ya maiti. Mama huyo pia...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
nimemsikia msemaji wa Polis ambae nimelishika jina la kwanza ADVERA (ITV habari za saa saa 9.00adhuhuri)akisema polisi imeanzisha mtandao wa kuwashika natapeli wanaochukua pesa za watu kwa ahadi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MONDAY, NOVEMBER 26, 2012 Michoro ya ujenzi wa Kampasi ya Mloganzila iliyo kijijini Kwembe katikati ya Wilaya za Kisarawe Mkoa wa Pwani na Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam. Hii ni sehemu ya...
3 Reactions
21 Replies
9K Views
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza waombolezaji kuweka maua katika mwili wa Mzee Jayantlal Rajani ikiwa ni ishara ya kutoa heshima za mwisho kwa marehemu wakati wa kuaga mwili wa marehemu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom