Uwajibikaji

Mwanakanenge

Member
Joined
Nov 25, 2012
Messages
76
Points
95

Mwanakanenge

Member
Joined Nov 25, 2012
76 95
Haya ni mawazo yangu juu ya uwajibikaji katika nyanja yoyote ya utendaji.Katika kuwajibika katika kazi,shughuli au chochote ulichopangiwa kukifanya au wewe mwenyewe umeamua kufanya ni kukifanya hicho kitu kama chako na sio unafanya kwasababu umeambiwa kufanya na mtu aliye juu yako.
Uwajibikaji umekuwa adimu hasa katika kazi mbalimbali hasa katika idara za mbalambali za serikali na hili linasababishwa na mfumo uliopo wa kulindana,kupeana ajira kwa kujuana,kiundugu na kuondoa dhana nzima ya uwajikabikaji kama baba,mama na mtoto wote wameajiriwa ofisi moja na baba ndiye bosi wa ofisi je baba anaweza kumuwajibisha mtoto au mkewe kwa kutoifanya kazi ipasavyo?
Tuwajibike kwa dhamana tulizopewa kwa kuwatumikia wananchi,na ikumbukwe cheo ni dhamana.

"Kocha mzuri ni yule anayembeba mchezaji mzuri ambaye baadae anambeba kocha kwa kumpa matokeo mazuri uwanjani"
 

Forum statistics

Threads 1,389,527
Members 527,939
Posts 34,027,297
Top