Kazi ya mfamasia Tz ni nini?

Photo me

Member
Nov 11, 2012
7
4
Nasikitika kusema kuwa wafamasia wetu hawajiamini,hawafanyi kazi yao ipasavyo,na wengi wameishia kuweka vyeti vyao kwenye maduka ya dawa na kuwaachia watu wasio na ujuzi kuuza dawa!Is ajabu kusikia ARVs feki zinatolewa kwa wagonjwa tena katika hospitali za umma!Leo nimesikia tena kuna vipimo feki vya HIV!dawa nyingi mtaani ni feki tena wao ndo wanauza!Ukiuliza TFDA wanasingizia eti wako wachache! Hawa wamekuwa miungu kwamba kazi wanataka wafanye wao tu?mbona kuna madaktari wengi mikoani hawawezi kufanya ukaguzi hadi muwepo ninyi tuu?Katika mahosipitali ya umma wapo kwa ajili ya kupiga dili za manunuzi ya dawa tu!hawana msaada kwa wagonjwa ni kama watabiri wa hali ya hewa walivyo kwa mkulima wa tz!watatwambia wanatengeneza dawa wakati dawa tunaagiza India na China!Wanahitajika kweli?
 
Watanzania tumekuwa wavivu sana na kutaka kupiga dili za chap chap ili tufanikiwe mapema bila kuvuja jasho. Hii imesababisha hata wataaluma kuishia kutotumia ujuzi wao kuendeleza taifa hili. Ukifuatilia mtaala wa hawa jamaa wanafundishwa kutengeneza na kupurchase dawa. Ila ndani ya nchi hii wamekuwa ndio waagizaji wa dawa halali na bandia. Ndio njia ya kuibia dawa za serikali na kuzipeleka mtaani. Nenda hospitali zisizo na record nzuri ya kuhifadhi dawa uone zinavyobebwa kila siku. Mfano mzuri ni bombo na mbeya. Bahati mbaya sana wananchi wanajua kila mwenye koti jeupe ni daktari hivyo lawama za wizi wa dawa huishia kwa madaktari. Vijana tufanye kazi kwa bidii!!!
 
Back
Top Bottom