Mi-ATM ya kibongo

Mi-ATM ya kibongo

mama dunia

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
420
Reaction score
84
Jamani hivi nyie wenzangu vipi katika hili, maana mie muda unavyozidi kwenda mbele naona naboreka si kawaida na huduma za ATMs za kibongo hata sijui iweje wajirekebishe yaani ama so so bored 100% na kuzidi!!!! Yaani imeshanikuta mara nyingi sana mi-ATM haifanyi kazi tena wakati mwingine ni ya aina tofauti inagoma kutoa pesa kwa wakati huo huo! yaani leo nimeboreka sana Ubungo oilcom nimeenda ATM za umoja-zote mbili hola, nikahamia NMB nayo hola, bahati mbaya nikawa sinayo ya Baclays (ambapo ningetumia VISA) ambayo kwakweli naweza kuwapongeza sana kwakuwa sijawahi kupata nayo shida hata siku moja! ila haya ma-ATM mengine yananiuzi sana sina jinsi kwasababu ni kwasababu maalum ndo maana naendelea kuwa nayo, siku moja tena nipo msasani li-atm la umoja likagoma, nikaenda manyanya hola, nikaenda mwananyamala nalo pia, wakati huo nina shida balaa tena kipindi hicho ndo mipromo kibao ya umoja, kweli inauzi! tena huwa najitahidi sana kupiga simu call centres zao na kuwaambia why this why this ila hayajirekebishi..!!! Yaani mi-ATM ya kibongo mnaboa sina tu jinsi...
 
Nina swali dogo tu umetumwa na baclays.??
 
Nikweli kabisa hasa weekend ndo balaa hasa NBC, Nilitoka kawe ATM inafanya kazi hakuna pesa nikaja mwenge holaa hakuna pesa nikaenda ubungo ATM 5 zoote hazina pesa huu si niupuuzi kama wameshindwa kazi wafute ile ya 24hrs NILICHUKIA KWELI! NBC mjilekebishe wekeni pesa za kutosha siku za weekend bank kubwa kama hii ni aibu!
 
nitumwe nina sida gani has??? au we mwenzetu unatumia nini?? maana hii si mpya, i think kila mtu anatambua, au upo remote sana au nje may be thats why kama upo bongo unajua ukweli upo wapi..
 
Wewe ficha hela zako kitandani ! Ooohooo!
 
Back
Top Bottom