Maoni ya Kizalendo

arete

Member
Sep 26, 2012
7
3
[h=5]Kama nchi inahitaji wataalamu wa lugha ya kiingereza basi msisitizo uwekwe kwenye kiingereza lakini kama nchi inahitaji wataalamu wenye ujuzi juu ya fani na taaluma mbalimbali zenye tija kwa taifa katika kuleta maendeleo basi tuache siasa na tufundishe wataalamu wetu kwa lugha wanayoielewa ili waweze kuchangia katika kuchochea maendeleo. Amka Ee Mtanzania[/h]
 
Back
Top Bottom