Dr Amani Karume alikudia lipi kati ya haya?


Mohammed Shossi

Mohammed Shossi

Verified Member
Joined
Jan 17, 2011
Messages
3,985
Likes
127
Points
160
Mohammed Shossi

Mohammed Shossi

Verified Member
Joined Jan 17, 2011
3,985 127 160
Dk Amani karume aliposema CCM wa ZANZIBAR kama samaki alikuwa na maana moja kati ya hizi
1) wanalana wao kwa wao.
2) ni rahisi kukamatika (kwa mitego wanayoiona kila siku)
3) wakubwa ndio wenye sauti mbele ya wadogo.
4) hata ukiwaona wengi hawawezi kupindua meli.
5) siku zote hasira zao zinawanufaisha wavuvi tu (watanganyika)
6) wakiuona mwanga wa taa tu wanauzongea (bila kujua una manufaa kwao au la)
wewe unaiona ipi kati ya hizi ni sahihi?
 
Mohammed Shossi

Mohammed Shossi

Verified Member
Joined
Jan 17, 2011
Messages
3,985
Likes
127
Points
160
Mohammed Shossi

Mohammed Shossi

Verified Member
Joined Jan 17, 2011
3,985 127 160
Niliamanisha Amekusudia lipi mods kama mnaipenda kazi yenu mu-edit title
 
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
15,960
Likes
22,416
Points
280
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
15,960 22,416 280
Mimi ninafikiri alikuwa anamaanisha wana akili ndogo kama akili za samaki.......hasa KIBUA
 
I

IPECACUANHA

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
2,409
Likes
641
Points
280
I

IPECACUANHA

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
2,409 641 280
Alimaanisha number moja maana "tabia" hiyo ya kisamaki ipo sana visiwani wanakotoka
 

Forum statistics

Threads 1,235,137
Members 474,353
Posts 29,212,919