Wananchi waondoa nguzo za mipaka zilizowekwa na Tanapa

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Messages
7,876
Points
2,000

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2010
7,876 2,000
Published on 27 Nov 2012 by ITV TANZANIAZaidi ya wakazi elfu mbili wa jamii ya wafugaji katika kata ya Ololosokwan wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakiwa na silaa za jadi zikiwemo mishale mikuki na marungu wamevamia na kuondoa nguzo za mipaka iliyowekwa na shirika la hifadhi za taifa (TANAPA) kwa madai ya kuvamiwa na kunyany'anywa ardhi yao.

Wanakijiji wanadai kijiji chao kina title deed lakini wanashangazwa na hatua ya TANAPA kubadili mipaka kila mara bila kujali title deed ya kijiji na maisha ya wanakijiji kwa ujumla. Mwisho wanakijiji hao walingoa ' becons' wa kuonyesha 'maeneo' ya TANAPA na kuondoa nzao ktk lori.

 
Last edited by a moderator:

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
11,036
Points
1,250

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
11,036 1,250
Kwa hili Mi binafsi naunga hoja mkono kwani ndiyo faida ya serikali legelege kama ya Jk!


Wajitazame upya!

Wizara husika wajiulize ni wapi pana mapungufu na wajirekebishe bila hata ya kufanya haya mambo kuwa makubwa!

Safi sana!
 

Forum statistics

Threads 1,392,307
Members 528,585
Posts 34,104,243
Top