PICHA: Rais Kikwete JIJINI ARUSHA TENA; AFUNGUA MKUTANO WA MABENKI


nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Points
1,225
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 1,225
TUESDAY, NOVEMBER 27, 2012

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA MABENKI JIJINI


ARUSHA HIVI SASARais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano mkuu wa mabenki yote 49 yaliopo hapa nchini,unaendelea hivi sasa katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) jijini Arusha.Mkutano huu ni Muendelezo na utaratibu wa Kukutana kila Baada ya Miaka miwili kwa Mabenki yote hapa nchini.

TUESDAY, NOVEMBER 27, 2012 ~ COPYRIGHT: MICHUZI BLOG
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Points
1,225
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 1,225
Kweli RAIS wetu ANAPAPENDA ARUSHA...
 
KIJOME

KIJOME

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Messages
3,086
Points
1,225
Age
48
KIJOME

KIJOME

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2012
3,086 1,225
Ajinafasi kwa raha zake lengo lake si lilishatimia?yaani wahenga hawakukosea,ni heri mchawi kuliko mnafiki....
 
HUGO CHAVES

HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Messages
1,958
Points
1,500
HUGO CHAVES

HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2011
1,958 1,500
Benk hizi ziangalie riba kwa wakopaji na ziweke masharti nafuu kwa wajasiriamali
 
B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Messages
764
Points
170
B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2012
764 170
Karibu nyumbani kwa wanaojitambua mkuu
 
B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Messages
764
Points
170
B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2012
764 170
Fanya kazi muu mungu atakuuliza uliwa fanyia nini wa tz
 
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,181
Points
2,000
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,181 2,000
Muda si mrefu atapunguza au tusi muone tena Arusha maana hukumu ya kamanda Lema ni Tarehe 4.12.12 kama watamnyonga ndani ya miezi mitatu tuna mrudisha na tunafunga kwa maombi Kikwete apooze macho na mdomo...
 
GeniusBrain

GeniusBrain

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
4,321
Points
1,195
GeniusBrain

GeniusBrain

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
4,321 1,195
Muda si mrefu atapunguza au tusi muone tena Arusha maana hukumu ya kamanda Lema ni Tarehe 4.12.12 kama watamnyonga ndani ya miezi mitatu tuna mrudisha na tunafunga kwa maombi Kikwete apooze macho na mdomo...

JK ni chaguo la Mungu, dua zote mbaya huwa hazimpati
 
MD25

MD25

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Messages
3,078
Points
1,195
MD25

MD25

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2012
3,078 1,195
Muda si mrefu atapunguza
au tusi muone tena Arusha maana hukumu ya kamanda Lema ni Tarehe
4.12.12 kama watamnyonga ndani ya miezi mitatu tuna mrudisha na
tunafunga kwa maombi Kikwete apooze macho na mdomo...
si atakufa...
 
Simba Mangu

Simba Mangu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Messages
351
Points
195
Simba Mangu

Simba Mangu

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2010
351 195
Wewe achakutumia vibaya jina la Mungu kikwete nichaguo la wajinga kama wewe siyo Mungu
Mgafilika acha jazba mambo yatakwenda vema mungu huwa hamfichi mnafiki tunaanza na mungu na tunamaliza nae
 
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,181
Points
2,000
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,181 2,000
si atakufa...[/QUO
Kwani akifa anafaida gani huyu anaye ishi kia kila siku safari hazishi hakuna hata siku ameka nchini kwake au ikulu mwenzi mzima kila siku safari afe tuu hakuna shida turudie uchaguzi kuliko hizo garama za safari kila siku
 
kitalolo

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Messages
1,846
Points
1,195
kitalolo

kitalolo

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2006
1,846 1,195
Kweli RAIS wetu ANAPAPENDA ARUSHA...
Na wiki ijayo anakuja ena kufungua jengo la EAC na barabara ya arusha Namanga na baada ya hapo ataenda Kenya kufungua Barabaraba ya Namanga Ath river pamoja na kuudhuria mkutano
 
Son of Gamba

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Messages
3,257
Points
2,000
Son of Gamba

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2012
3,257 2,000
JK ni chaguo la Mungu, dua zote mbaya huwa hazimpati
Acha kuwa mjinga wewe! Nani kakuambia JK ni chaguo la MUNGU! Acheni kumsingizia MUNGU mambo ambayo hajafanya yeye. JK alichaguliwa na Watanzania wachache mambumbumbu na kura zingine alichakachua. Watanzania wengi wenye akili zao timamu hawakumchagua Rais Dhaifu kama JK! MUNGU hakupiga kura kumchagua Mr. Dhaifu. Tusidanganyane!
 
J

Jawason jawa

Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
25
Points
0
J

Jawason jawa

Member
Joined Oct 13, 2012
25 0
Rais ni mwakilishi wa wote na sio waliomchagua pekee.Kinachohitajika ni kuvumiliana tu.
 

Forum statistics

Threads 1,283,662
Members 493,764
Posts 30,796,057
Top