PICHA: SPIKA aongoza Viongozi Nchini kuomboleza Msiba wa Mzee RAJANI, UPANGA - VIONGOZI wengi WA CCM

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,870
Points
1,225

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,870 1,225
Monday, November 26, 2012

SPIKA ANNE MAKINDA AONGOZA WAOMBOLEZAJI MSIBA WA MZEE RAJANI, UPANGA JIJINI DAR

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwasili nyumbani kwa marehemu mzee Shree Jayantilal Pragji Rajani, maarufu kama Mzee Rajani kuhani Msiba. Mzee Rajani alifariki Jumatano Novemba 21, 2012 mjini London alikokuwa amelazwa.Spika Anne Makinda akisaini kitabu cha waombolezaji.Mzee Pius Msekwa na Anne Abdallah wakisaini kitabu cha waombolezaji.
Kwa picha zaidi bofya read more

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza waombolezaji kuweka maua katika mwili wa Mzee Rajani ikiwa ni ishara ya kutoa heshma za mwisho kwa marehemu wakati wa kuaga mwili wa marehemu MzeeRajani nyumbani kwake Upanga.

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Mzee Philip Mangula wakitoa heshima
zao za mwisho kwa mwili wa mzee Rajani.

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisalimiana na Mzee Salim Ahmed Salim.

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisalimiana na Mmoja wa Waombolezaji, katikati ni Rostam Azizi.


Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisalimiana na Mzee Kingunge.Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda Akisalimiana na Mama Anna Mkapa.

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisalimiana na Mzee Pius Msekwa.(Picha zote na Owen Mwandumbya, Bunge)
 

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
5,075
Points
1,250

NAPITA

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
5,075 1,250
R.i.p mzee rajani lakini pamoja ni msiba ngoja niseme nilichokiona kwa spika kila msiba naona uwa anakanga iyo iyo tu kulikoni mnaomchagulia kuvaa spika wetu,lingine kumbe lostam yupo "njii" hii nimemnukuu mzee wa kilalacha.
 

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,607
Points
0

Concrete

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,607 0
Mbona makada wa CCM wamejaa hapo?

Marehemu Rajani alikuwa nani hasa kisiasa?

Huenda ukakuta alikuwa official sponser wa magamba, maana hawa ndugu zetu japo ni watanzania lakini huwa hawajiamini kabisa katika kuishi kwao hapa Tz.
 

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,607
Points
0

Concrete

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,607 0
R.i.p mzee rajani lakini pamoja ni msiba ngoja niseme nilichokiona kwa spika kila msiba naona uwa anakanga iyo iyo tu kulikoni mnaomchagulia kuvaa spika wetu,lingine kumbe lostam yupo "njii" hii nimemnukuu mzee wa kilalacha.
Mkuu kuna mambo ya kamati za ufundi.
Kwa tunaomjua huyu mama hatushangai sana.

Inasemekana huwa ni mtu asiyejiamini sana na hivyo yuko defensive katika angle zote.
 

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Messages
2,413
Points
1,500

Tripo9

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2009
2,413 1,500
Msibani kidogo kajihuzuni ni muhimu. mbona Naona watu wanafuraha sana?!
Wanakunja uso mbele ya mwili wa marehem tu!
 

Forum statistics

Threads 1,389,560
Members 527,958
Posts 34,028,223
Top