Maandamano ya waislamu Kariakoo!

Maandamano ya waislamu Kariakoo!

Status
Not open for further replies.

Naibili

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
1,878
Reaction score
1,062
Nipo kariakoo maeneo ya sokoni, yamepita maandamano ya baadhi ya waislamu wakihamasisha wengine, wanapita wakiimba, ila hakuna vurugu yoyote, wameelekea barabara ya Msimbazi, hapa kimepita kikundi cha watu wasiozidi 50.

Sasa sijui ilikuwa imepangwa au ndo inaanzishwa, na kesi ya Ponda ni lini?
 
Waangalie vizuri wanakoelekea.

Bila shaka wanaenda kwa mama Lishe kupata msosi, si unajua mida ya kula hii.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Ni leo kiongozi..nafatilia updates zake hapa!
 
Waache waandamane,nchi hii kila mtu ana haki ya kuandamana,juzi waliandamana POLISI
 
Naibili

Haukuweza hata kusema na mmoja wao na ukajua dhumuni lao la maandamano yao?

Inaweza ikawa wana tija kubwa katika maandamano yao ya leo?
Na je? Wana mabango yoyote?
 
Last edited by a moderator:
Waangalie vizuri wanakoelekea.

Bila shaka wanaenda kwa mama Lishe kupata msosi, si unajua mida ya kula hii.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!

WACHA WEEEH,,

TWAKIMBILIA KWENYE UBWABWA SIO??

LOL,,VIBAYA IVO JAMANI,MBONA MNATUKEJELI SANA ??

:madgrin: :madgrin:
 
walikuwa wanaimba nini? lazima wanasababu ya kuandamana.
 
hakuna mtu anayeweza kuandamana bila sababu.wanajua wanachokifanya.pia nihaki yao kikatiba na nihaki ya kila mtu.kuliko kuwakebehi ni bora ukaendelea na majukumu mengine
 
Acha uzushi wewe mie nipo Kariakoo mtaa wa msimbazi na mvua inanyesha hakuna maandamano yeyote.
 
Waache waandamane,nchi hii kila mtu ana haki ya kuandamana,juzi waliandamana POLISI
Kuandamana ni haki ya msingi ya raia wa Tanzania.Hatahivyo wananchi wanapaswa kufuata taratibu za nchi kabla ya kufanya maandamano,ikiwepo kupata kibali kabla ya maandamano!
 
Leo mbona wamewahi sana,inamaana wamesahau hata kuswali!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom