Hongereni sana kwa uamuzi huo wahuni wachache wasitake kurithi tabia za viongozi waandamizi wa ccmNipo hapa Butiama, uongozi wote wa Kijiji chini ya Mwenyekiti Zacharia Wambura (Debe Tupu), umefukuzwa. Waliofanya kazi hiyo ni wananchi wenyewe baada ya ufisadfi kuvuka kiwango.
Source: Mimi mwenyewe