Mjenda Chilo
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 1,467
- 513
Najiuliza accountability imepotelea wapi, inakuwaje kwa miezi kadhaa sasa serikali imekuwa ikichelewa bila maelezo ya kina na ya wazi. mara utasikia epicol mara bla bla mbona mnanyanyasa watu wanaotegemea salary kama nyie mna rushwa na posho si wenzenu tuna mshahara pekee. Wekeni watu wenye uwezo na mambo yakiwa magumu toeni taarifa msifanye watu kama vifaranga vya kuku kuwaza watanyonya labda kesho. Poleni watumishi wa umma naona mmegeuzwa jamvi la wageni