Mkurugenzi wa halmashauri ateua kampuni binafsi kuweka mji safi Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkurugenzi wa halmashauri ateua kampuni binafsi kuweka mji safi Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HUGO CHAVES, Aug 17, 2012.

 1. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  kulingana na matangazo ya leo katika pitapita zangu nikasikia hili tangazo la kampuni binafsi kutumika badala ya mgambo ambao wamehitimu na wengi wapo hawana ajira ,binafsi hawa mgambo wangefanya kazi nzuri kuliko hawa watu binafsi kutokana na mgambo wako trained,na mfumo wao wa kuwajibika uko wazi wangewezeshwa ,watengewe vitendea kazi ,mahakama ya mji mi nafikiri kazi ingeenda vizuri ,na hii inatokana na hii kampuni binafsi imeanza kazi jana na nimewakuta stendi kuu wamekaa hawajui ,pa kuanzia watu wanaendelea kuuza soksi stendi ya mabasi mkoani ,pili kampuni hizi zinaleta maswali mengi kwakuwa ni watafutaji wa pesa kuliko kazi zinakuwa na maswali mengi ,hii kazi wamepataje ,nani wako kwenye hii kampuni uzoefu wake kufanya miji iwe safi .,mji gani mkubwa wamefanya kazi .bado napendekeza mgambo wa jiji /mji ni bora kuliko .nawasilisha
   
 2. W

  Wajad JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,131
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  Sakata bodaboda kulipia parking sh500 limeishia wapi?
   
 3. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  liko mezani kila mmoja anapiga chenga hilo faili
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  C CM na viongozi wake oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  hii post ya mwanaJf imezaa matunda.naona mgambo wameshika hatamu.
   
 6. h

  hakisoni JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 430
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  ukichunguza sana utakuta wale waliokatazwa kuitwa waheshimiwa mmoja nyuma ya hilo, haliendaji bure isuue ya umatemate!
   
 7. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  unashaangaaa haya mambo kwa CCM hakuna lisilo wezekana!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...