Wakuu salaam sana ,niko mwanza mjini nina akina mama kama kumi ambao muda wao wa kazi ni finyu sana ila wanahitaji kujiunga na chadema na wameniomba niwanunulie kadi za chadema,naombeni msaada huo