Ndugu zangu, nasikitika kwa kifo cha huyo mtoto, lakini ni ukweli kwamba Watanzania tumekuwa wabishi na wakaidi sana. Madereva wa daladala hawaambiwi kitu, wakakisikiliza na kukitekeleza. Kila mahali siku hizi ni ubabe tu.

Hao ndio polisi, halafu wanasema eti polisi jamii.
Polis jamii ni nini, ? Ni jamii ya polisi watupu au ni jamii ya maiti ya watu waliouliwa na polisi?
What a hell!! Huko Mbeya jana nako wameumiza au kujeruhi na risasi (sijapata habari za mka mauti), Mbeya nako mmoja kambaka mtuhumiwa!! Hawa polisi wana tatizo gani!! Tanzania tunaelekea wapi?