Huko arusha vipi

Kiyoya

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,590
2,000
Enyi watu wa arusha tafadhari niondoeni wasiwasi kuna habari nimesikia juu ya rais wetu-shwari huko
 

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,217
1,500
Yuko anaendelea kupata Wisky baada ya kufungua jengo la EAC....au umesikia ameanguka tena mkuu?
 

Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
40,093
2,000
Yuko anaendelea kupata Wisky baada ya kufungua jengo la EAC....au umesikia ameanguka tena mkuu?
Mimi nilidhani anamuulizia Rais wa Arusha Godbless Lema, kumbe yeye anamuulizia huyu Rais Diaspora?
 

Iron Lady

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
4,071
1,250
sasa mleta mada angetudokeza ingefaa katuacha juu juu si tutajuaje sasa kasikia yeye halafu anataka sisindio tumwambie.
 
Top Bottom