Ikwiriri-rufiji tena hali ni tete

Ikwiriri-rufiji tena hali ni tete

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
313
Reaction score
40
Ndugu wana jamii nadhani mnakumbuka punde tulikua na vurugu zawakulima na wafugaji,Hali sio shwari tena, leo mabomu yanarindima wananchi wa ikwiriri wanaandamana wakikataa mitambo ya mafuta ya kuzalishia umeme isiondolewe.Madai yao hayana mantiki,wanataka yabaki kama emergency ingawa tunatumia umeme wa gesi! inatishia amani
 
Ngoja CCM iendelee kuwaangamiza kwani waliichagua wenyewe 2010.
 
asante kwa taarifa mkuu mayunga, nipo safarin kuelekea ikwiriri, inabidi nichukue tahadhari.
 
Back
Top Bottom