Umofia Kwenu,
Leo J3 03rd Dec 2012 ndani ya Dakika 45 atakuwepo Dep Minister wa elimu na mafunzo ya ufundi aka mzee wa zimbabwe,usikose kuangalia saa tatu usiku.
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia baadhi ya vipindi vya radio na televisheni.
Akizungumza leo mkurugenzi wa matangazo ya tv na radio wa mamlaka hiyo, amesema vituo vinne (4)...
Wakuu, kumbe siasa katika magamba zinalipa!
Hapa unaweza kuweka orodha kubwa ya makada wadogo kwa wakubwa wa magamba ambao wako katika siasa kulinda maslahi yao na watoto wao, pamoja na kufisadi...
Ni kweli picha zilizowekwa na Daily News ni za Rais Mpya wa Mexico,Enrique Pena Nieto akiwa na Makamu wa Rais na Mkewe? Hebu tazameni picha hizi kwanza.Picha ya kwanza na ya pili ni sawa na ya...
Usiku wa kumkia juzi watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wamevunja ofisi za kampuni ya wawekezaji kutoka South Afrika ya uchimbaji madini ya TanzaniteOne Mererani wilayani Simanjiro na...
TASWIRA MBALIMBALI ZA GARI ALILOPATA NALO AJALI MSANII SHARO MILIONEA NA JINSI UMATI WA WANANCHI ULIVYOFURIKA NJE YA CHUMBA CHA MAITI HOSPITALI TEULE YA MUHEZA
Gari aina ya Toyota Harrier...
Hawa viongozi wenye mali nyingi huwa hawana fikra na wenzao katika maslahi ya maisha kwa ujumla hivi utakuta vijiji hakuna maji safi hakuna hospitali bora hakuna barabara nzuri hakuna umeme lakini...
Nimekua nikifuatilia kwa karibu sana mzozo wa syria tangu mwaka jana,lakini katika hizi siku za karibuni suala la silaha za kemikali limekua likizungumziwa sana,nimekua nikijiuliza baadhi ya...
Jana nilisikia kauli ya serikali kwamba wametenga 500milion kwa ajili ya kuboresha miundo mbinu katika majengo kwa ajili ya walemavu,kwa mtazamo wangu pesa hiyo ni kidogo sana iki linganishwa na...
Wana jf kwa wale wenye kalenda ukiangalia mwezi huu wa desemba 2012 utaona kuwa una jumamosi 5 na jumapili 5 tofauti na tulivyozoea ambapo huwa ni jumamosi 4 na jumapili 4 kwa kila mwezi. Kwa...
Nimesikiliza taarifa ya habari kutoka T.B.C leo kuna research imefanyika Tanzania ikihusisha MIFUKO YA JAMII na matokeo yanaonyesha kuwa kuna baadhi ya mashirika yatafilisika ifikapo mwaka 2015...
Ndugu zangu, wana jamii wenzangu, naombeni msaada. Nimepata gari, na nimeipenda kwa kila hali, tangu aina, muundo, rangi yake hadi bei. Tatizo pekee ni namba yake, ambayo ni CDM, na hii ndiyo...
Hivi TCRA wapo wanafanya kazi? makampuni ya cm yanaibia watu kwa kutoa matangazo kuwa unatuma PESA bure kupitia Mpesa wakati ni uongo na jamaa wa TCRA wanakwenda kazini kila siku nao wanapokea...
Wana JF, nakusudia kununua TOYOTA COROLLA SPACIO Old Model 4A au 7A Engine, Naomba nijuzwe ubora wa hizo gari, matumizi ya mafuta na km kuna tatizo sugu linalosumbua hizo gari.
Nawasilisha.
Naomba munisaidie kunielewesha kuhusu ujenzi wenu wa barabara.
1. Kwanini pembeni ya barabara kunakuwa na mifereji mikubwa, ambayo kwa namna moja ama nyingine inachangia kuwepo kwa ajali...
Wahenga walisena maneno matupu hayavunji mfupa, nasema hivi kwasababu kumekuwa na majigambo mengi na kauli mbiu nyingi kutoka kwa wadau wa sekta ya utalii lakini mafanikio yamekuwa madogo au...
D- Drive
R - Reverse
P - Parking
2 -?
3 -?
L -?
Matumizi ya hizi Buttons:
Red pale Karibu na gear leaver
Over Drive
EMCT Or Power etc
Ongezeeni na nyinyi...
Skype: alfred.kohi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.