Tanzaniteone waibiwa madini ya mabilioni ya fedha

Antar bin Shaddad

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
202
170
Usiku wa kumkia juzi watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wamevunja ofisi za kampuni ya wawekezaji kutoka South Afrika ya uchimbaji madini ya TanzaniteOne Mererani wilayani Simanjiro na kuondoka na madini yenye thamani ya Mabilioni ya fedha, ingawa thamani halisi bado haijafahamika. Hivi sasa polisi kutoka Mkoani Manyara na wengine kutoka Arusha wako hapa eneo la tukio wakianza uchunguzi na kuhoji wafanyakazi mbalimbali na mameneja.Huu utakuwa uwizi mkubwa na kwanza wa madini hapa nchini na tukio litaaingia katika historia.Taarifa zaidi tutawajuza baadaye.

Source:Mi mwenyewe kutoka eneo la tukio.
 
Luggy

JF-Expert Member
Aug 6, 2012
2,947
2,000
wamejiibia wenyewe ili waonewe huruma,kuiba madini si kitu kidogo,kama si hivyo basi wamezungukana wenyewe

Usiku wa kumkia juzi watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wamevunja ofisi za kampuni ya wawekezaji kutoka South Afrika ya uchimbaji madini ya TanzaniteOne Mererani wilayani Simanjiro na kuondoka na madini yenye thamani ya Mabilioni ya fedha, ingawa thamani halisi bado haijafahamika. Hivi sasa polisi kutoka Mkoani Manyara na wengine kutoka Arusha wako hapa eneo la tukio wakianza uchunguzi na kuhoji wafanyakazi mbalimbali na mameneja.Huu utakuwa uwizi mkubwa na kwanza wa madini hapa nchini na tukio litaaingia katika historia.Taarifa zaidi tutawajuza baadaye.

Source:Mi mwenyewe kutoka eneo la tukio.
 
Mkaguzi

JF-Expert Member
Sep 26, 2007
249
225
Wamejiibia hao ule ulinzi uliopo pale hao wezi waliingiaje? waache kututania wanataka kulipwa insurance hamna lolote
 
Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,025
1,500
Hadi watakapohakikisha kuwa ni majambazi

Usiku wa kumkia juzi watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wamevunja ofisi za kampuni ya wawekezaji kutoka South Afrika ya uchimbaji madini ya TanzaniteOne Mererani wilayani Simanjiro na kuondoka na madini yenye thamani ya Mabilioni ya fedha, ingawa thamani halisi bado haijafahamika. Hivi sasa polisi kutoka Mkoani Manyara na wengine kutoka Arusha wako hapa eneo la tukio wakianza uchunguzi na kuhoji wafanyakazi mbalimbali na mameneja.Huu utakuwa uwizi mkubwa na kwanza wa madini hapa nchini na tukio litaaingia katika historia.Taarifa zaidi tutawajuza baadaye.

Source:Mi mwenyewe kutoka eneo la tukio.
 
Chief

JF-Expert Member
Jun 5, 2006
2,379
2,000
Hivi sasa polisi kutoka Mkoani Manyara na wengine kutoka Arusha wako hapa eneo la tukio wakianza uchunguzi na kuhoji wafanyakazi mbalimbali na mameneja.Huu utakuwa uwizi mkubwa na kwanza wa madini hapa nchini na tukio litaaingia katika historia.Taarifa zaidi tutawajuza baadaye.

Source:Mi mwenyewe kutoka eneo la tukio.

Sio wa kwanza. Kuna ile miche ya dhahabu iliyoibiwa Geita miaka kadhaa iliyopita
 
brasy coco

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
1,483
2,000
bora walivyoiba maana tanzanite ipo tanzania pekee lakn hatujulkana wanajulkana south sijawahi kuona faida ha madini yetu dili yakikukalia vizuri iba tu kwel kabisa tena wasubiri yajae meng meng waibe tena Safi kabisa
 
Iron Lady

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
4,070
1,750
nawaombea sana walioiba wawe watanzania maana watafaidika wao na familia zao na pengine watoto zao wataenda shule na kujijenge nyumba za kisasa za kuwafaa.

hawa wazungu wanatuibia sana madini yetu. liwalo na liwe wakichukia wakaondoka poa tutachimba wenyewe. hata yakikaa hayaozi.
 
MNYISANZU

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
7,050
1,225
Manina zao imekula kwao hongereni majambazi kwa dili nono ila msiwe mnaua au kujeruh ibeni sepeni msitutoe roho na kutupatia vilema sawa!Big up
 
fluid

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
208
250
Usiku wa kumkia juzi watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wamevunja ofisi za kampuni ya wawekezaji kutoka South Afrika ya uchimbaji madini ya TanzaniteOne Mererani wilayani Simanjiro na kuondoka na madini yenye thamani ya Mabilioni ya fedha, ingawa thamani halisi bado haijafahamika. Hivi sasa polisi kutoka Mkoani Manyara na wengine kutoka Arusha wako hapa eneo la tukio wakianza uchunguzi na kuhoji wafanyakazi mbalimbali na mameneja.Huu utakuwa uwizi mkubwa na kwanza wa madini hapa nchini na tukio litaaingia katika historia.Taarifa zaidi tutawajuza baadaye.

Source:Mi mwenyewe kutoka eneo la tukio.
kama ni weusi..big up mbaya..naona malandcruiser lx yakifurika a town kama njugu vile..big up sana..
 
Mzee Kabwanga

Member
Apr 27, 2012
68
0
Hakuna wizi unaweza kutokea hapo kwa ulinzi uliopo wenye vikwazo vingi . Isipokuwa kuna udanganyifu unataka kufanyika kukwepa kodi na masuala kulipwa insurance na mengineyo.Polisi wafanye uchunguzi wa kina watagundua.
 
Monyiaichi

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
1,826
1,250
Wamejiibia hao ule ulinzi uliopo pale hao wezi waliingiaje? waache kututania wanataka kulipwa insurance hamna lolote

kama ulikuwepo ndugu yangu, wezi! waswahili wakisogea tu kidogo wanachezea shaba, wakitoka hapo kama sio maiti ni vilema, wapi bwana, halafu utaona wanalipwa hiyo insurance, si unajua tena, wanajua hakuna atakayefanya kitu, wakishapitisha mgao kwa hawa vilaza waroho wetu, kwishney-cheque inatengenezwa. ila wajue tunajua kuwa ni mishemishe zao
 
Brodre

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,307
2,000
nakubaliana na mzee Kabwanga hapo baadaye watasema na nyaraka muhimu zimeibiwa waandike mikataba na serikali upya chezea wajanja wewe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom