Jana nilisikia kauli ya serikali kwamba wametenga 500milion kwa ajili ya kuboresha miundo mbinu katika majengo kwa ajili ya walemavu,kwa mtazamo wangu pesa hiyo ni kidogo sana iki linganishwa na ukubwa wa issue yenyewe ni vema ika ongezwa