Makada wa Magamba na wizi wa mali za umma!


S

siyabonga

Senior Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
125
Points
0
S

siyabonga

Senior Member
Joined Jan 25, 2012
125 0
Wakuu, kumbe siasa katika magamba zinalipa!

Hapa unaweza kuweka orodha kubwa ya makada wadogo kwa wakubwa wa magamba ambao wako katika siasa kulinda maslahi yao na watoto wao, pamoja na kufisadi mali za umma.

Tunashukuru, zama hizi wanaumbuka kwa kasi kubwa:- hata wenyewe kwa wenyewe sasa wanaumbuana.

Aibu katika magazeti ya jana Mzee Bujugo, wa Green Acres, kujitwalia shule ya Kaole, Bagamoyo!

Ha ha haaa! Hatimaye magamba wameshtuka wakati kumepambazuka.Eti airudishe!

Muacheni Mzee wa watu, aendele kupiga muziki katika majengo yake ya Ofisi hapo Business Park.

Na wengine nao, warudishe walivyojichukulia! Chukua Chako Mapema.


 

Forum statistics

Threads 1,285,937
Members 494,834
Posts 30,879,725
Top