Ndugu zangu, wana jamii wenzangu, naombeni msaada. Nimepata gari, na nimeipenda kwa kila hali, tangu aina, muundo, rangi yake hadi bei. Tatizo pekee ni namba yake, ambayo ni CDM, na hii ndiyo kikwazo kwangu. naombeni msaada.