Hatujaongopewa HAPA?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,800
Ni kweli picha zilizowekwa na Daily News ni za Rais Mpya wa Mexico,Enrique Pena Nieto akiwa na Makamu wa Rais na Mkewe? Hebu tazameni picha hizi kwanza.Picha ya kwanza na ya pili ni sawa na ya tatu na nne? Mbili za kwanza ndizo za Enrique Pena Nieto halisi. Mbili za pili sizo. Hizi mbili za pili ndizo zilizotumiwa na Daily News. Wanataka kumpotosha nani? Hata Makamu wa Rais anatungiwa uongo kama alivyowahi kutungiwa Rais? Serikali na chama changu cha Mapinduzi tupunguzeni uongo basi
 
Mkumbwa Ali is a life long acting managing editor......... that's why

Enrique_Pe%C3%B1a_Nieto_inauguration.jpg

daaah jamani nina msiba
ila imebisi nicheke
hii nchi bwana
 
Mzee Tupatupa, ukienda uswiss uniletee chocklates, habari za nchi hii zimeshanichosha, bora nijiliwaze na chocklates, lol!
 
Last edited by a moderator:
Usijali.Ingawa uzi wangu ulihujumiwa jana na watawala wa JF,lakini nilichokisema ni kweli. Nchi hii imefikia pabaya.Kila kitu ni uongo tu
niliona ulivyohujumiwa, ila tayari ujumbe ulitufikia baadhi yetu, nina kikao mtaani kwetu jumamosi hii na wamama wenzangu, ni juu ya kuhimizana kuhusu KUIGOPA CCM kama ukoma!! ni bora kutokuwa na chama, kuliko kuwa mwanachama wa ccm! tunataka tuhakikishe kila mmoja wetu ana card ya CDM na tukijaaliwa pumzi inshallah TUKUTANE kwenye kura tu!
 
Wenzangu mmeamua vyema.Mimi bado.Lakini,siko mbali kimaamuzi.Naweka kwanza mambo yangu na ya familia yangu,hasa ya kiusalama,sawasawa. Kwanza,sikuwahi kupigia kura mgombea wa chama changu cha CCM
 
niliona ulivyohujumiwa, ila tayari ujumbe ulitufikia baadhi yetu, nina kikao mtaani kwetu jumamosi hii na wamama wenzangu, ni juu ya kuhimizana kuhusu KUIGOPA CCM kama ukoma!! ni bora kutokuwa na chama, kuliko kuwa mwanachama wa ccm! tunataka tuhakikishe kila mmoja wetu ana card ya CDM na tukijaaliwa pumzi inshallah TUKUTANE kwenye kura tu!
Nitawekeni kwenye maombi, Pepo CCM lishindwe KABISA
 
niliona ulivyohujumiwa, ila tayari ujumbe ulitufikia baadhi yetu, nina kikao mtaani kwetu jumamosi hii na wamama wenzangu, ni juu ya kuhimizana kuhusu KUIGOPA CCM kama ukoma!! ni bora kutokuwa na chama, kuliko kuwa mwanachama wa ccm! tunataka tuhakikishe kila mmoja wetu ana card ya CDM na tukijaaliwa pumzi inshallah TUKUTANE kwenye kura tu!
mbona sijapata ombi la kufanyika kikao chenu!!!!nitakuwepo na vitu vizito na vyenye ncha kali kuhakikisha hakifanyiki!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom