MASWALI KWA MA-ENGINEER WA BARABARA. Kwanini nan....

MASWALI KWA MA-ENGINEER WA BARABARA. Kwanini nan....

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Naomba munisaidie kunielewesha kuhusu ujenzi wenu wa barabara.
1. Kwanini pembeni ya barabara kunakuwa na mifereji mikubwa, ambayo kwa namna moja ama nyingine inachangia kuwepo kwa ajali?

2.Kwanini barabara ya morogoro road,bagamoyo road ambazo mnajenga ni nyembamba sana halafu pale ktkt mnaacha sehemu kubwa ya kuweka udogo, kwanini msiache nafasi kubwa kuruhusu magari hata matatu yapite kwa wakati mmoja?

Ni hayo tu ninayotaka kupata ujuzi toka kwenu.
Ahsante.
 
Vipi mbona kimya hamna wadau.
 
mmhhhh ....'baarabara ya morogoro road' ?
 
Nitakujibu swali lako la 2 kwa ufupi !

Ujenzi wa barabara Kama projects zingine zina stages kabla ya kufikia kitu icho ukisemacho!
Kuna mambo Kama fesibility study ,collection ya data Kama vile traffic counting na kadhalika. Hizo zote hufanywa ili kupata best design itakayokidhi hitaji ya wakati huo. Hayo yote hufanywa sambamba na budget iliyopangwa kwa project hiyo.

Kitu hicho unachokisema kinaitwa median, huwa ni part ya right of way, na yaweza tumika baadae ikiitajika kuongeza lane!, temporarily chaweza tumika kwa soft or hard landscarping ya barabara au catchoff drain area.
 
lugha gongana,kiswahili KITUKUZWE
 
Naona umeshajibiwa kuwa Mradi wa barabara sio wa muda mfupi kwani magari yanaongezeka kila siku na huenda siku za baadae ikahitajika Treni za umeme za barabarani (Tram) katika barabara ya Morogoro na Bagamoyo, itabidi zipite katikati ya hiyo sehemu uliyoitaja
Swali No 1 kwanini wanaweka mifereji mikubwa pembezoni mwa barabara Nianavyoona mm ingawa sio Mhandisi wa barabara ni kuwa Maji yanayomwagika barabarani iwe ya mvua au kutoka katika nyumba za watu huwa zinaharibu barabara sana hivyo km sehemu hiyo ina miinuko na mabonde lazima utaona mifereji uinakuwa mikubwa kwani inapoelekea au kumwaga ni lazima waitafutie Usawa /pimamaji/ Level
Ajali haziwezi kutokea kwani Mjini kuna Speed zake kati ya 10 hadi 30 na kunakuwepo na Kingo za kuzuia ajali pia Usalama kwa waendeshaji unadhibitiwa
sijui km utaridhika? hizo barabara sasa zitadumu hadi miaka 25
 
Swali la kwanza kwa ufupi,

Hiyo utegemea catchment area na hydrological data ndio utoa size ya mifejreji na location. ndio maana sio kila barabara mifereji hufanana!!

Usalama uangaliwa na ndio maana kutoka center or edge ya barabara kuna clearance ya kutosha. Behavior ya madereva wetu ufanya barabara kuonekana sio salama.
 
chonde chonde neno 'data' ni wingi umoja wake ni 'datum' sidhani kama neno 'datas' linakubalika.
 
Msije mkanisema watz tunapenda kujibu swali kwa kuuliza swali lakini lengo ni kama kufanya brainstorming, swali la kwanza mleta uzi angetueleza mifereji inasababisha vipi ajali? labda kama anamaanisha kwamba uwepo wa mifereji hiyo unasababisha madhara makubwa endapo kutatokea ajali kwa gari kutoka nje ya barabara.(ni kutii sheria tu kunahitajika, pia ukubwa wa mifereji unatokana na level ya barabara yaani kama imepandishwa sana na ndio kina nacho kinaongezeka)
 
Naona umeshajibiwa kuwa Mradi wa barabara sio wa muda mfupi kwani magari yanaongezeka kila siku na huenda siku za baadae ikahitajika Treni za umeme za barabarani (Tram) katika barabara ya Morogoro na Bagamoyo, itabidi zipite katikati ya hiyo sehemu uliyoitaja Swali No 1 kwanini wanaweka mifereji mikubwa pembezoni mwa barabara Nianavyoona mm ingawa sio Mhandisi wa barabara ni kuwa Maji yanayomwagika barabarani iwe ya mvua au kutoka katika nyumba za watu huwa zinaharibu barabara sana hivyo km sehemu hiyo ina miinuko na mabonde lazima utaona mifereji uinakuwa mikubwa kwani inapoelekea au kumwaga ni lazima waitafutie Usawa /pimamaji/ Level Ajali haziwezi kutokea kwani Mjini kuna Speed zake kati ya 10 hadi 30 na kunakuwepo na Kingo za kuzuia ajali pia Usalama kwa waendeshaji unadhibitiwa sijui km utaridhika? hizo barabara sasa zitadumu hadi miaka 25

Mkuu huko sahihi kabisa, mifereji mipana haisababishi accidents tatizo ni mwendo kasi mkubwa i.e 50+m.p.h ukiwa mjini!!! Wenzetu walio endelea wana sheria kali kuhusu mwendo wa kasi ukiwa mjini - huruhusiwi kwenda mwendo kasi zaidi ya 30m.p.h, ukijitia ujanja basi kuna camera barabarani zinapiga namba plate yako alafu kesho yake unafunguliwa mashtaka - lakini hapa kwetu hilo lina puuziwa kabisa, unaweaza kumpita traffic barabarani ukiwa kwenye mwendo kasi mkubwa lakini afanyi jitahada ya kumpigia simu wenzake ili wakukamate na kutozwa fani.
 
Nitakujibu swali lako la 2 kwa ufupi !

Ujenzi wa barabara Kama projects zingine zina stages kabla ya kufikia kitu icho ukisemacho!
Kuna mambo Kama fesibility study ,collection ya data Kama vile traffic counting na kadhalika. Hizo zote hufanywa ili kupata best design itakayokidhi hitaji ya wakati huo. Hayo yote hufanywa sambamba na budget iliyopangwa kwa project hiyo.

Kitu hicho unachokisema kinaitwa median, huwa ni part ya right of way, na yaweza tumika baadae ikiitajika kuongeza lane!, temporarily chaweza tumika kwa soft or hard landscarping ya barabara au catchoff drain area.

Ahsante nashukuru.
 
naona umeshajibiwa kuwa mradi wa barabara sio wa muda mfupi kwani magari yanaongezeka kila siku na huenda siku za baadae ikahitajika treni za umeme za barabarani (tram) katika barabara ya morogoro na bagamoyo, itabidi zipite katikati ya hiyo sehemu uliyoitaja
swali no 1 kwanini wanaweka mifereji mikubwa pembezoni mwa barabara nianavyoona mm ingawa sio mhandisi wa barabara ni kuwa maji yanayomwagika barabarani iwe ya mvua au kutoka katika nyumba za watu huwa zinaharibu barabara sana hivyo km sehemu hiyo ina miinuko na mabonde lazima utaona mifereji uinakuwa mikubwa kwani inapoelekea au kumwaga ni lazima waitafutie usawa /pimamaji/ level
ajali haziwezi kutokea kwani mjini kuna speed zake kati ya 10 hadi 30 na kunakuwepo na kingo za kuzuia ajali pia usalama kwa waendeshaji unadhibitiwa
sijui km utaridhika? Hizo barabara sasa zitadumu hadi miaka 25

ahsante kubwa kwako
 
Mkuu huko sahihi kabisa, mifereji mipana haisababishi accidents tatizo ni mwendo kasi mkubwa i.e 50+m.p.h ukiwa mjini!!! Wenzetu walio endelea wana sheria kali kuhusu mwendo wa kasi ukiwa mjini - huruhusiwi kwenda mwendo kasi zaidi ya 30m.p.h, ukijitia ujanja basi kuna camera barabarani zinapiga namba plate yako alafu kesho yake unafunguliwa mashtaka - lakini hapa kwetu hilo lina puuziwa kabisa, unaweaza kumpita traffic barabarani ukiwa kwenye mwendo kasi mkubwa lakini afanyi jitahada ya kumpigia simu wenzake ili wakukamate na kutozwa fani.

Ahsante kubwa
 
majibu
1. Hiyo mifereji ni kwa ajili ya kusafirisha maji ya mvua na maji.
Hoja na kwa nini uendeshe gari pembeni ya barabara?
2. Sio bara bara nyembamba since ni double lane. kati kati ni reserve kwa ajili ya RBT
 
Back
Top Bottom