Tanzania kukuza utalii bado ni ngonjela

Kyenju

JF-Expert Member
Jun 16, 2012
4,561
1,500
Wahenga walisena maneno matupu hayavunji mfupa, nasema hivi kwasababu kumekuwa na majigambo mengi na kauli mbiu nyingi kutoka kwa wadau wa sekta ya utalii lakini mafanikio yamekuwa madogo au hakuna kabisa. Ningependa nimshukuru Balozi Kagasheki kwa mapinduzi aliyoyafanya ndani ya wizara husika, ila tunapenda mageuzi haya yalete mafanikio maana tunasikia hata vigogo serikalini wanatuhumiwa kuuza meno ya tembo.

Mwisho niseme hivi tuweke kipaumbele cha kujitangaza kimataifa km CNN,BBC Kenya wanafanya hivi.
 
Top Bottom