Taswira mbalimbali za gari alilopata nalo ajali msanii sharo milionea

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,868
30,337
[h=3]TASWIRA MBALIMBALI ZA GARI ALILOPATA NALO AJALI MSANII SHARO MILIONEA NA JINSI UMATI WA WANANCHI ULIVYOFURIKA NJE YA CHUMBA CHA MAITI HOSPITALI TEULE YA MUHEZA[/h]021.JPG


Gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Sharo Millionea alikufa papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza Tanga.

035.JPG


031.JPG


Baadhi ya watu wakiliangalia gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Sharo Millionea alikufa papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza Tanga.

015.JPG

043.JPG


Gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Sharo Millionea alikufa papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza Tanga.

048.JPG


047.JPG


Mbunge wa Jimbo la Muheza Hebert Mtangi akiwasili nje ya jengo la Chumba cha Kuhifadhia Maiti cha Hospitali ya Teule Muheza kwa ajili ya kushuhudia mwili wa msaniii Sharo Millionea aliyekufa katika ajali ya gari wakati akitoka Dar es Salaam kwenda Lusanga, Muheza mkoani Tanga, ajali hiyo imetokea katika kijiji cha Kijiji cha Songa Kibaoni .

050.JPG

Wakazi wa wilaya ya Muheza na maeneo mengine wakiwa wamefurika nje ya Chumba cha Maiti cha Hospitali Teule Muheza, kusubiri kushuhudia mwili wa Sharo Millionea, aliyefariki kwa ajali ya gari.

 

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,868
30,337
[h=3]MAMIA WASHIRIKI KATIKA MAZISHI YA SHARO MILIONE MCHANA HUU[/h]
480859_509939035705542_792577158_n.jpg

Mwili wa marehemu Sharo Millionea ndio umelala humu, nivigumu kuamini
Mama+Yake+Hussein+Sharo+Millionea+Akilia+Kwa+Uchungu.jpg

Mama Yake Hussein Sharo Millionea Akilia Kwa Uchungu


IMG_4190.JPG

Nape akizungumza na wananchi waliohudhuria msibani


IMG_4191.JPG

IMG_4194.JPG

Mwili wa marehemu Sharo Millionea ukiwa umebebwa


IMG_4193.JPG

Meneja wa Sharo anayejulikana kwa jina la HK akizungumza


IMG_4192.JPG
IMG_4195.JPG

IMG_4196.JPG

IMG_4197.JPG

IMG_4198.JPG

1569412817012086223-2053790326120351988
 

Kamuzu

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
994
289
Pumziko la milele umpe ee Bwana, na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani, Amina.
 

prince pepe

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
215
29
Uuhwii utandawazi noma hadi picha za ndani ya kaburi mazee

huu ni uungwana kweli wanajamii?
 

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,249
Eee Mungu, mpe mapumziko ya amani mpendwa wetu Hussein Mkiete (Sharo milionea).Kamwe sitomsahau kijana huyu kwa ubunifu wake wa kuchanganya ucheshi na muziki, na misemo yake ya ucheshi 'umebugi meen! nk.na kupangusa bega lake la kulia kama vile kuondoa uchafu. Ndo maana hussein machozi alimtumia kwenye video yake ya Mzimu wa Babu na kufanya video hiyo kushika chati sana.

Baada ya kuona picha za ajali kama zinavyoonekana hapo juu, nashangaa kuona lami. Awali tuliambiwa kwamba ajali ilitokea kwa sababu gar alokuwa akiendesha limekaa chini mno, ilhali barabara za kijijini ni mbaya. Lakini kwenye post na picha tunaambiwa gari ni toyota harrier. Na toyota harrier haiko chini sana kiasi cha kusababisha ajali.

Poleni sana wanafamilia, Poleni sana wanaJF na pole sana mzee King Majuto.
 

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,266
9,654
R.I.P sharo.
lakini jf naona inaelekea kuwa gazeti la uwazi au ijumaa ua design ya blog za akina dj.............
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom