Nini maana ya silaha za kemikali?

Microsoft

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
624
500
Nimekua nikifuatilia kwa karibu sana mzozo wa syria tangu mwaka jana,lakini katika hizi siku za karibuni suala la silaha za kemikali limekua likizungumziwa sana,nimekua nikijiuliza baadhi ya maswali kuhusu hasa ni nini maana sahihi ya silaha za kemikali,madhara yake ya muda mfupi na muda mrefu...je ni halali au zinaruhusiwa na jamii ya kimataifa kutumika katika mapambano au vita?na ni nchi gani zinazozalisha hizi silaha za keemikali?pia nchi gani zimewahi kutumia hizi silaha za kemikali katika vita?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom