Wajuzi watusaidie ni wakati gani muafaka napashwa kutumia....

akohi

akohi

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Messages
782
Points
250
akohi

akohi

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2012
782 250
D- Drive
R - Reverse
P - Parking
2 -?
3 -?
L -?

Matumizi ya hizi Buttons:
Red pale Karibu na gear leaver
Over Drive
EMCT Or Power etc

Ongezeeni na nyinyi...

Skype: alfred.kohi
 
gobore

gobore

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2009
Messages
729
Points
195
gobore

gobore

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2009
729 195
Hakuna cha utaalam kama we ni dereva unapaswa kuwa ulijifunza hizo au na wewe leseni ya kuletewa Bar?
 
Hahaha "gobore" you must be Genius, alininunulia mjomba na akanipea Bar hehehe

Anyway: tatizo lipo pale kwenye hizo zenye alama ? Maana ni kweli tunazitumia Ila sidhani kama ni kiufasaha.

Mf: ni wakati gani una engage OD au 2
 
J

Jalem

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Messages
217
Points
0
J

Jalem

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2011
217 0
Sikilza ndugu, 2 na 3 zote ni gia lkn haziruhusu gia nyingine kuwa changed kama D drive inaanzia 1 had 4 lkn 3 ni 3 au 2 ni 2 ambapo ukitumia gari yako haiwezi badili mwendo lkn 2 au L nikukusaidia kwenye mlima kuwa iwe na nguvu kuukabili huo mlima, lkn yt nenda shule utajua, huko Dubai, shule ya udereva ni sawa na kuchukua degree ya kwanza kwa ughali wake, na standard yao ni ya juu sn hupati bar kama hapa kwetu TZ.
 
Nkwesa Makambo

Nkwesa Makambo

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2011
Messages
4,765
Points
0
Nkwesa Makambo

Nkwesa Makambo

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2011
4,765 0
D- Drive
R - Reverse
P - Parking
2 -?
3 -?
L -?

Matumizi ya hizi Buttons:
Red pale Karibu na gear leaver
Over Drive
EMCT Or Power etc

Ongezeeni na nyinyi...

Skype: alfred.kohi
3-Ni kwamba gari yako itacruise hadi gear namba 3,hiyo inafaa kutumiwa sehemu yenye mlima au mwinuko mkali kiasi unaoambaa sehemu kubwa(mwinuko mrefu)
2-Ni gear ambayo inaifanya gari yako itumie mwisho gear ya pili,hii ni boara sana kutumia kwenye Mwinuko mkali.
L- Hii nio gear kubwa na yenye nguvu sana,ni nzuri kuitumia ameneo kama yenye mchanga mwingi na unaoambaa sehemu kubwa. kama baadhi ya sehemu za jangwani

Overdrive. unapotaka gari icruise bila ukomo, unaweka Overdrive on,lakini unapotaka gari yako icruise hadi gear ya mwisho na iishie kwenye kasi ya gear hiyo unaweka OD off. kumbuka OD on gari inakuwa na kasi isyo na ukomo na kuna wakati gari yako yaweza fika kiasi cha kuwa mzunguko wa engine uwe sawa na mzunguko wa tairi ?!
 
gobore

gobore

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2009
Messages
729
Points
195
gobore

gobore

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2009
729 195
akohi wamekuelekeza wakuu ila sidhani kama utaelewa, at least kina sie tuliojifunzia landrover tunajua tofauti ya 1,2,3,4,5(L), N(free) Na R. Wewe jua hiyo D na R tu zinakutosha mambo ya OD sijui nini achana nayo usije kuharibu gari bure
 
Last edited by a moderator:
akohi

akohi

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Messages
782
Points
250
akohi

akohi

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2012
782 250
3-Ni kwamba gari yako itacruise hadi gear namba 3,hiyo inafaa kutumiwa sehemu yenye mlima au mwinuko mkali kiasi unaoambaa sehemu kubwa(mwinuko mrefu)
2-Ni gear ambayo inaifanya gari yako itumie mwisho gear ya pili,hii ni boara sana kutumia kwenye Mwinuko mkali.
L- Hii nio gear kubwa na yenye nguvu sana,ni nzuri kuitumia ameneo kama yenye mchanga mwingi na unaoambaa sehemu kubwa. kama baadhi ya sehemu za jangwani

Overdrive. unapotaka gari icruise bila ukomo, unaweka Overdrive on,lakini unapotaka gari yako icruise hadi gear ya mwisho na iishie kwenye kasi ya gear hiyo unaweka OD off. kumbuka OD on gari inakuwa na kasi isyo na ukomo na kuna wakati gari yako yaweza fika kiasi cha kuwa mzunguko wa engine uwe sawa na mzunguko wa tairi ?!
Duh, lazima we ni mkufunzi hahaha, nimeelewa vizuri sana Ila umesahau matumizi ya Power au EMCT buttons na zinatofauti gani na OD?
 
Forum statistics

Threads 1,283,671
Members 493,764
Posts 30,796,443
Top