Uimara, Ubora na Matumizi ya mafuta ya Toyota Corolla Spacio Old Model 4A engine.

Zemu

JF-Expert Member
Jun 5, 2008
518
79
Wana JF, nakusudia kununua TOYOTA COROLLA SPACIO Old Model 4A au 7A Engine, Naomba nijuzwe ubora wa hizo gari, matumizi ya mafuta na km kuna tatizo sugu linalosumbua hizo gari.
Nawasilisha.
 

Ng'wale

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
4,563
3,270
Wana JF, nakusudia kununua TOYOTA COROLLA SPACIO Old Model 4A au 7A Engine, Naomba nijuzwe ubora wa hizo gari, matumizi ya mafuta na km kuna tatizo sugu linalosumbua hizo gari.
Nawakilisha.

Nawasilisha siyo nawakilisha. Kuwakilisha ni kuwepo au kufanya kwa niaba ya mtu mwingine. Engine 7A ni 10 - 12 km per litre kutegemea na factors kama speed ambayo inatokana na barabara na kusimama mara kwa mara kwasababu ya foleni na umri wa gari pia ni factor nyingine, hicho kiwango nilichoweka ni kwa gari lililo kwenye hali bora. Pia inaweza kutofautiana kutoka matumizi ya mtu mmoja hadi mwingine kwa gari hilo hilo moja.
 

silent lion

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
903
853
Gari nzuri na ina nafasi nzuri, pia spea zake zinapatikana kwa urahisi. Mafuta pia ni economy. mm nnayo na kwakweli na enjoy.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom