Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wapinga nauli ya treni ya 700/- Dar: WADAU wa usafiri wa Reli nchini wamepinga mapendekezo ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) na Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) la kutaka nauli ya...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Inabidi ifike mahali na sisi tuwe kama hawa jamaa maana naona polisi wetu wamekuwa wakitumia hovyo sana silaha za moto dhidi ya raia wema. Congo B polisi anakuwa na rungu na filimbi tu. Mwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi sijui mnatwambia nn watanzania kama kila kukicha watu wanapoteza maisha kwa kupigwa Risasi wakati nyie mpo kuna siri ani kati yenu ya hawa wauaji inauma sana juzi ndugu yangu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina Mrisho amekutwa amekufa ndani ya kituo cha polisi Isaka wilayani Kahama mkoani Shinyanga.. Kwa mujibu wa mashuhuda wanasema kuwa marehemu alikamatwa jana kwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamani weekend hii nimepita posta nimeteseka sana. Unakuta bara bara ina alama ya no Entry unakoingilia na unakotokea kuna no Entry pia. Hebu mamlaka husika tuelewesheni. what are you Up to...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Tukiacha sherehe za dini, maazimisho yote yafanyike angalau mara 1 baada ya miaka mitano. Sherehe kama za Uhuru, Muungano na nanenane zinapoteza fedha na muda mwingi.
0 Reactions
0 Replies
836 Views
NYUMBA 215 zilizojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ili kuwauzia wanachama wake kwa bei nafuu eneo la Kijichi Dar es Salaam hazikamatiki baada ya gharama halisi anayotakiwa kulipa...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Taratibu za mazishi ya aliyekuwa Mtangazaji wa BBC Fred Alex Mttoi zinaendelea sasa. Punde msafara wa kwenda Kanisani (Kanisa la Kilutheli Tabata Magengeni. Mazishi yatafanyika Makaburi ya...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Hii ni sehemu ya mbele ya jengo la benki ya CRDB Burundi ambalo litazinduliwa Ijumaa hii na raisi wa Burundi,mheshimiwa Pierre Nkurunziza. mojawapo ya jitihada hizi za benki ya CRDB kuwa...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Nchini China kati ya vijana 32,000 waliohojiwa, vijana 23,09 walisema wangependa kuwa wafanyabiashara na wenyekumiliki viwanda na makampuni makubwa, Marekani vijana 41,112 waliohojiwa, vijana...
0 Reactions
143 Replies
9K Views
habari kutoka vyombo mbalimbali za kitaifa na kimataifa ikiwapo CNN wamedaiwa kutumia repoti zao kuonyesha kuwa ziwa lote la Nyasa lipo Malawi. my take. Hawa wasituzingue tuwe tayari kulinda...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kabla ya uboreshaji wa barabara za katikati ya jiji la Arusha haujafanyika kulikuwepo maegesho ya kutosha ya magari na barabara zoote zikawa zinapitika bila kuleta bughudha kwa magari au watumiaji...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Zile nyumba zilizojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ili kuwauzia wanachama wake kwa bei nafuu ziko tayari, gharama halisi ni kati ya sh200 milioni na sh260 milioni. Benki ya CBA...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Information reaching Police formation indicates that: There is a syndicate of criminals selling beautiful key holders at Petrol Stations. They sometimes parade themselves as sales promoters...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Naanza na Polisi wa Barabarani Najua Polisi kuna baadhi ya mambo mnayofanya yanaisaidia jamii lakini kuna baadhi mnaiangusha jamii. Siku za hivi karibu nilisafiri kutoka mikoa ya pwani kuelekea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Faida na hasara Zake ni zipi?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
sisi wote ni watoto wa baba mmoja hizi itikadi za kidini zisitutenge na kutugawa siku MUUMBA atakapo tuuliza sababu za kuyumba kiimani wakati MUNGU wetu ni mmoja tutajibu nin Ndugu zangu...
3 Reactions
5 Replies
4K Views
Jumanne, Novemba 20, 2012 06:59 Na Oliver Oswald, Dar es Salaam CHUO cha Usimamizi wa Fedha (IFM), kinatarajia kufanya mdahalo mkubwa Desemba 7, mwaka huu, kuhusu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mbunge wa Ubungo amesema' serikali inapata hasara ya sh 10 milioni kila baada ya siku tano, ni kutokana na maandalizi duni, amesema itafikia hatua usafiri huo utasimama kutokana na kuwa na...
0 Reactions
69 Replies
7K Views
Katika hali ya mshangao mkubwa ukipita mitaani siku hizi utakuta idadi kubwa ya watu wanauza korosho za kuchoma na sio za kubanguliwa kama kawaida yake. Hali hiyo ilinistusha kwa sababu nakumbuka...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom