Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Salaam wana JF, Ikiwa imebaki miaka mitatu kufika mwaka 2015, yaani ukomo wa muda Umoja wa Mataifa(UN) iliyotoa kwa nchi 193 wanachama(miaka 15 toka mwaka 2000), malengo kadha wa kadha(Malengo...
2 Reactions
0 Replies
7K Views
Heshima Mbele Ni muda sijaanzisha Mada hapa ila kuna jambao ambalo limekuwa likinitatiza kwa muda sasa ila naamini nyie mnaweza kuwa mnajua? Hivi kwanini Lowassa anautaka Urais? akichaguliwa...
17 Reactions
61 Replies
9K Views
Ningependa kujua ni sababu gani iliyomfanya Nyerere ajikite zaidi katika juhudi za ukombozi wa bara la Afrika kiasi cha kumfanya atumie muda mwingi, rasilimali za Taifa na maisha ya Watanzania...
5 Reactions
32 Replies
13K Views
DHANA YA 'DAMAGE CONTROL' Kwa mara ya mwisho tuligusia namna ambayo siku 14 zilipita bila uongozi wa Chadema kutoa ufafanuzi , maelezo au majibu sakata la AR. Siku 14 ni nyingi sana kuachia...
54 Reactions
328 Replies
43K Views
Jana nimepata fursa ya kusoma taarifa za kamati mbili zilizokuwa zinachunguza tukio la kuuawa kwa mwandishi wa habari wa Channel ten Daudi Mwangosi. Lakini kikubwa nilichokuwa nakisubiri ni ripoti...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Malawi yaiomba Tanzania kuahirisha mkutano wa mpaka Send to a friend Sunday, 09 September 2012 10:02 Madikizela at Mbamba bay SERIKALI ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana Jamii ya wazalendo, Ni dhahiri kabisa sera ya majimbo ya chadema yenye lengo la kurejesha mamlaka kwa wananchi, na kuondoa mamlaka ya wateule wachache kama wakuu wa mikoa na wilaya...
10 Reactions
10 Replies
4K Views
Bado sijajua kwa usahihi mpaka wa uchanga wa umri wa Taifa lolote ni miaka mingapi, ila nikiitazama Tanzania bado naona miaka 50 bado taifa hili ni changa. Katika uchanga huu ni lazima tukubali...
7 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wana JF, Hali ya nchini kwetu Tanzania hadi hapa tulipofika kwa sasa haijalishi kuwa tunaenda wapi mana tayari tumefika pabaya… Kwa kundi ama hali yoyote ile ifikapo pabaya dawa...
50 Reactions
126 Replies
17K Views
Salaam, Friedrich Hegel was a 19th c German philosopher who proposed among other things that in any society there is an order (economic, social and political) that will grow to the state of its...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Mh Zitto naomba utufafanulie sisi wana JF, ushirikiano wako na serikali ya CCM. Tunajua siasa si uadui lakini ndani ya CCM kuna ushahidi wa kutosha kuwa siasa ni uadui. Mfano, Kuna uthibitisho wa...
10 Reactions
41 Replies
8K Views
Mwaka 2015 sio mbali, na kwa mara nyingine tena watanzania tutapata fursa ya kutumia haki yetu ya kikatiba kumchagua mtu mmoja ambae tunaamini kwamba ndiye atakaefaa kutuongoza kama taifa katika...
15 Reactions
81 Replies
16K Views
Mkapa ajuta • Ahuzunishwa wageni kuhodhi uchumi na Mwandishi Wetu | Tanzania Daima~Sauti ya Watu RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa, amesema anajutia kitendo chake cha kuliingiza taifa...
1 Reactions
72 Replies
12K Views
Hakuna kitu sikipendi kama Unafiki na sintaweza kuvumilia hata ikiwa kipenzi changu ndiye mkisiwa..Mh.Zitto naomba sana maelezo yako... habari ndio hii:- From foes to partners: Tales of Zitto...
23 Reactions
272 Replies
36K Views
Mambo mengi yamesemwa kuhusu tatizo la umeme nchini Tanzania, mimi nitaanza kwa kugusia mambo machache yanayoonyesha matatizo ya umeme yalivyokuwa makubwa ndani ya bara letu la Afrika...
6 Reactions
88 Replies
12K Views
Wadau. NIMEKAA nikitafakari utendaji wa idara yetu ya Usalama wa Taifa. Hii ni taasisi muhimu sana kwa usalama wa nchi na wananchi wake, nchi zote idara hii ina heshima kubwa ndani ya jamii. Kwa...
12 Reactions
39 Replies
6K Views
Hii ni mchango katika kupambana na lindi la umaskini kwa mtu mmoja mmoja na hatimaye nia iweze kuingia miongoni mwetu ili kubadilisha mitazamo yetu(Taifa kwa ujumla)
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni jambo lisilohitaji mjadala kwamba serikali ya awamu ya nne, hasa katika kipindi cha minne imefeli katika maeneo yote yanayohusiana usimamizi wa rasilimali za nchi kwa manufaa ya walio wengi na...
7 Reactions
18 Replies
3K Views
Niliwahi kusema hapa kwamba wanaomshauri raisi na kumuandikia Hotuba walikuwa wanaboa, kwakuwa hawakuwa hata wana-capture issues muhimu na kumfanya Raisi aongelee vuvumi na mambo ambayo mengine...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Rejea thread ya Roulette ya tarehe 19 mwezi huu (Link) kua leo kutakua na mjadala kati ya Matola na zomba kuhusu tathmini ya utawala wa Rais Kikwete tokea aingie madarakani mwaka 2005 hadi sasa...
32 Reactions
103 Replies
15K Views
Back
Top Bottom