Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Hellow wana JF... Leo nipo upande wa an actress Anjeline Jolie wa Holly Wood of whom I love too. Naona ni moja wa actresses mwenye uwezo mkubwa sana kuigiza na huweza cheza nafasi yoyote ile...
0 Reactions
140 Replies
11K Views
Leo waandishi wamejumuika kwenye Bonanza la pamoja Msasani Beach. Hongera kwao kwa kupunguza mawazo na stress za kazi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
duh ukiwa na mtoto au ndugu kama huyu ni bora utafanyaje upumzike na adha.
0 Reactions
37 Replies
9K Views
Pata nyimbo mpya kutoka pande zote Duniani Bofya hapa SIKILIZA MIZIKI
0 Reactions
2 Replies
20K Views
Jana tarehe 22/03/12 nimeshuhudia ufunguzi wa Club Maisha Mtwara, ilikuwa mida ya saa 10:15. Shampeni na mafataki yalipigwa kiaina. Club iko bora kwa kubata pande zote VIP ama kajambanani kote...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
.........UPDATES.......... Hatimaye Rado anauwawa na Prosephina,Aireen nae anatupwa toka juu ya gorofa na kufariki,anabaki Hommer na Prosephina. Prosephina anafanikiwa kumpata mama yake...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Naona mzuka kwa watu unaongezeka kuhusu hizi filam za bongo.....kwenye media na watu.. Sasa mimi najiuliza.kwa nini nashindwa kuzipenda hizi filam za bongo???? Yaani nashindwa hata kutazama...
0 Reactions
61 Replies
9K Views
Hii ni movie ambayo niliikubali tangu enzi hizo mpaka leo huwa naiangalia sana. Sehemu nazopenda sana ni pale captain alivyoingia line kwa maria na ugumu wake wote.nyingine pale maria...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa dar..wapi nitapata caps kali za MMG,ymcmb n.k....nikitajiwa na bei pia itakua poa,anayejua naomba msaada! eg..Last Kings Tyga Snapback ymcmb snapback MMG
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wadau.Kwa muda wa takribani wiki 3 sasa nimekuwa siioni filaamu hii katika chaneli ya tbc saa kumi na mbili jioni kama ilivyokuwa zamani.Hivyo naomba yoyote anayyefahamu wakati filamu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Click the LINK FI MORE INFORMATION. HighGrade Sounds.: JhikoMan Listening Party brought to you by Afro Reggae Music -Mivinjeni, Bagamoyo,Tanzania.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
me ni mdau wa filamu za kibongo lakini na choshwa kusikia chuki na visa vya awa wawili katika tasnia ya filamu, kwani wamekuwa na ugomvi na malumbano yasiyo natija sijui ni wivu wa mafanikio au...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hallo wanaJF, Hakuna atakayepinga kuwa kwa miaka ya karibuni bendi ya Twanga Pepeta chini ya ASET imekuwa ikifanya vyema kiasi cha kuzifunika bendi zilizojaza wakongo kama FM Academia na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu habari za hapa jamvini, natafuta Movies za hollywood 2011 kwa mwenye nazo naomba anijulishe nitamlipa kwa kadri tutakavyoelewana. Namba yangu za simu ni 0755 737 737 1. 5 Days of...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Saturday, March 10, 2012*NAPE NNAUYE ASAKA NAMBA JUKWAA LA TWANGA, AMUACHA HOI ASHA BARAKA KWA KUIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYOTE Hapa Nape akipiga gitaa la Solo. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Filam Ya Vikaragosi (Cartoon) Ya Kiswahili Kwa jina la Manzese Hii ni kazi ya Dr. Boniface Mhella, mjumbe wa Jumuiya ya Watanzania Roma, ambaye tayari amekamilisha filamu yake yenye mandhali...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Hello! JF Kwa wale wakazi na wafanyabiashara wa MWANZA. Naweza pata wapi Movie mpya za mbele. Siyo katika collection yaani 24 in 1. But kama Single kwa Bei ya Jumla ama Rejareja Maana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natizama TBC 1 leo tarehe 10.03.2012 jumamosi asuhbuhi ambapo kuna mwanamziki chipukizi wa maadhi ya Zainabu anahojiwa akijitamnulisha kwa mara ya kwanza. Anamziki aliofanya ft na Kingwendu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Duh kweli mambo ya Pwani soo. Jamaa wamezama kwa mapenzi ya mashuga mamy. Jisomeeni wenyewe. Bongo flava gigolos at the coast...
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Back
Top Bottom