Je kifo cha steven kanumba ni kifo cha kanumba the great company? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kifo cha steven kanumba ni kifo cha kanumba the great company?

Discussion in 'Entertainment' started by Ruttashobolwa, Apr 8, 2012.

 1. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Nime amua kuliuliza hili kwasababu watanzania tulio wengi tumezoea kufanya mambo bila kujihoji kama ni kifa na vitu vyangu vitakufa? sababu hiyo kampuni tunaitegemea hiwe chachu ya kuhenzi aliyo yaanzisha! ni mekuwa nikiona familia zilzo simama vizuri lakini baba anapo fariki,famili hizo huteteleka na pengine kuanguka.Hii inatokana na misingi tuliyojengeana watanzani kwamba mtu ufa na mali zake! hii nitabia yetu watanzania,lakni sitegemei yakwamba KANUMBA hakumuandaa mtu anaye weza kufanya kazi zake tukiacha uigizaji kama hatokuwepo! Najua mashabiki wake wame umia sana lakini wata umia zaidi watakapo ona "KANUMBA THE GREAT COMPANY " nayo imekufa!
  REST IN PEACE STEVEVEN CHARLES KANUMBA( THE GREAT)
   
Loading...